Sidhani kama Diamond Platnumz anamsaidia Marioo

Easly Put.
Way to Go Mario.
 
Kiba kawasaidia vip hao madogo na amewafikisha wap? Diamond kasimama mwenyewe na kawasimamisha Harmonize , rayvann , Mboso na lava lava , ...Harmonize ametoka WCB akiwa na thaman ya utajiri wa Bill 4, unataka kunambia harmonize ana kipaji kuzid Aslay , barnaba, maua Sama, jux , na wengineo......?? Kama Diamond angekuwa na roho mbaya kias hcho asingewafikisha hao madog hapo walipo, na pia mtu anawekeza mahali ili apate return , ni ujinga na ujuha wa Hali ya juu et mtu awekeze sehemu af mpige equal share hyo haipo popote pale duniani,....
Mo Dewij ajenge kiwanda alaf mapato mgawane Sawa , hyo kitu haipo, wafanyakazi wataendelea Tu kulipwa 4000 per day huku jamaa akipaa Forbes ...

Clouds media inaingiza mpunga mrefu Sana Ila wafanyakazi wanalipwa hzo 500k, ikizid Sana 1000k, huku kusaga akichota pesa na kuwekeza kwingine Kwa nn wasiseme wananyonywa wakat wao ndo punda wabeba mzigo.....
 
Wewe utakuwa mshabiki wa kiba ndomaana unaongea pumba.
 
Kumsaidia mtu maanayake nini nikiona dogo anasota nikampaa bajaji aniletee hesabu hapo sijamsaidia kisa na mimi nepata hesabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Subiri wake wake wa domo wakuchambe!!
 
huyu Mario nmemskiliza jana nlkua hata simjui

Jamani the guy ni talented khaa

Mbna ni hatari sana huyo dgo

Mkulima wa mahindi
 
sahihi kabisa kingine muziki ni biashara Nigeria wako milioni 195 Ni kama nchi tatu za tanzania kwa idadi ya watu sioni tatizo kama hapati tuzo lakini ana make maoney
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…