data
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 26,858
- 23,768
Easly Put.Navyojua nyimbo ambazo zimempa diamond coverage na tuzo ni zile alizoimba kinaija (Afro beatz). Kuhusu Marioo sidhani kama kuna ubaya maana dogo kapewa nomination na akipata association na brand kubwa kama Diamond nadhani atafika mbali kwa wepesi zaidi.
Way to Go Mario.