Sidhani kama kulishakuwapo mwaka wowote na kusitokee vitu ya aina yoyote ile. Hii ina prove hapa duniani bila ya kuwa mbabe utanyongeka hadi mwisho

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Hio ndio asili ya mwanadamu.

Mipaka imeundwa kwa mapigano.
Mamlaka zimeundwa kwa nguvu.
Jamii zime-survive kwa kujilinda kivita.
Umashuhuri wa jamhuri umeundwa kwa ushindi dhidi ya mnyonge.


Ila wewe umebaki tu kusema "haina noma, malipo ni hapa hapa duniani"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…