Sidhani kama kuna series kali kushinda Game of Thrones?

Sidhani kama kuna series kali kushinda Game of Thrones?

Nimetazama movies nyingi sana ila bado sijaona ya kuiweka meza moja na GOT.

1. STORYLINE yake
2. DIOLOGUE yake
3. UNPREDICTABLE.... yeyote anakufa, popote n.k

GEORGE R.R MARTIN ni mtu mbadi sana nadhani ndiyo maana kuna watu wanamuita Genius.

Soma original book ya hiyo movie, kitabu kinaitwa SONG OF ICE AND FIRE ndipo utajua kwamba GEORGE MARTIN ni nyoko sana [emoji91]

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Jaribu breaking bad utaleta mrejesho kabla ya kuanza unaeza sema ni mbaya ila kadri muda unavoenda ni bonge la series haichoshi.....Game of thrones kwa mtu anaye angalia kwa mara ya kwanza is the best lakini haifiki kwa breaking bad.. breaking bad ina kitu ni ngumu kukielezea it's the best ever
Breaking bad nimeshajaribu kuiangalia zaidi ya mara 3 kila nikiianza sifiki popote nakata tamaa
 
Breaking bad nimeshajaribu kuiangalia zaidi ya mara 3 kila nikiianza sifiki popote nakata tamaa
Aisee that's what happens, hata mimi nilijaribu episode ya kwanza nikaona ni Nini hiki nikaacha..siku nikakuta a friend anaangalia season 3 ..nikaenda itazama tangu season 1, I binge watched ..na ina spin off series inaitwa "better call Saul" .. Breaking Bad kuna muda inakuwa kama "lost" inaenda mbele inarudi nyuma.
 
Jaribu breaking bad utaleta mrejesho kabla ya kuanza unaeza sema ni mbaya ila kadri muda unavoenda ni bonge la series haichoshi.....Game of thrones kwa mtu anaye angalia kwa mara ya kwanza is the best lakini haifiki kwa breaking bad.. breaking bad ina kitu ni ngumu kukielezea it's the best ever
Kwangu mimi breaking bad ilinikosha season mbili za mwisho 4&5
 
ANGALIA HIZI SERIES KWA MTIRIRIKO HUU

BETTER CALL SAUL
BREAKING BAD
EL CAMINO

UTAKUWA MLEVI WA TV SHOW
 
Back
Top Bottom