mbegunjema
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 221
- 246
Katika muendelezo wa Mapinduzi ya viwanda, Shirika la viwanda vidogo vidogo (SIDO) lipo mbioni kuunda ndege ya kubeba abiria 500.
Ni nani alithubutu kutamka na kutoa hilo wazo?Katika muendelezo wa Mapinduzi ya viwanda, Shirika la viwanda vidogo vidogo (SIDO) lipo mbioni kuunda ndege ya kubeba abiria 500.
Ndege ya vibuyu?Katika muendelezo wa Mapinduzi ya viwanda, Shirika la viwanda vidogo vidogo (SIDO) lipo mbioni kuunda ndege ya kubeba abiria 500.
Tarehe 1 april bado sanaKatika muendelezo wa Mapinduzi ya viwanda, Shirika la viwanda vidogo vidogo (SIDO) lipo mbioni kuunda ndege ya kubeba abiria 500.
Ngoja nicheke kwanza nitarudi baadayeKatika muendelezo wa Mapinduzi ya viwanda, Shirika la viwanda vidogo vidogo (SIDO) lipo mbioni kuunda ndege ya kubeba abiria 500.
hahaha ngoja tuone, ila ku make airplane for long -haul and short haul tena kwa viwango vya sasa is no jokeKatika muendelezo wa Mapinduzi ya viwanda, Shirika la viwanda vidogo vidogo (SIDO) lipo mbioni kuunda ndege ya kubeba abiria 500.
Sito shangaa, tunatatizo kubwa la kuwa na serious peoples kwneye hiyo miradi. Mizaha na politicsUnajua Mzaha Mzaha Hivi Hivi Baadaye Pesa Zinatolewa Na Jamaa Wanazichezea Ndege Hatuioni, TRC Umeona Kadogosa Na Locomotive Ya Diesel Na Tupo Kimya Kama Hatujui Umeme Ni Mwingi
subiri April 1 ulete taarifa hiiKatika muendelezo wa Mapinduzi ya viwanda, Shirika la viwanda vidogo vidogo (SIDO) lipo mbioni kuunda ndege ya kubeba abiria 500.
Waanze na Ndege ya Raisi 🤣🤣Katika muendelezo wa Mapinduzi ya viwanda, Shirika la viwanda vidogo vidogo (SIDO) lipo mbioni kuunda ndege ya kubeba abiria 500.
Huna hela boyaDadeq...hiyo hata bure sipandi.
Wanataka kuua watu sasaKatika muendelezo wa Mapinduzi ya viwanda, Shirika la viwanda vidogo vidogo (SIDO) lipo mbioni kuunda ndege ya kubeba abiria 500.
Umenikumbusha tulivyoinjoyi safari ya uzinduzi toka Temeke mpaka Upanga.Katika muendelezo wa Mapinduzi ya viwanda, Shirika la viwanda vidogo vidogo (SIDO) lipo mbioni kuunda ndege ya kubeba abiria 500.
Hapa kwa kweli nimecheka hadi machoziKwa staili hii hatutafika au tukifika tutakuwa tumechoka sana au tuseme tumeshapotea njia???
Eti una anza kwa kuomba:
1. Uungwe mkono i.e. unatushawishi na hujui kwamba ombi laweza kukubaliwa au kukataliwa.
2. Uongezewe wataalam i.e. huna uwezo peke yako kwa sasa tena Hujui kinachoendelea kwa sasa (Huendi na wakati) kwamba ajira hakuna.
Kwa kifupi ni kwamba unaanza kwa kufeli. Kwa maana unaweza usiungwe mkono na usiongezewe wataalam.