Tumbili wa mjini
JF-Expert Member
- Nov 2, 2024
- 1,125
- 2,233
- Thread starter
- #201
Kwahiyo sasa hivi unakula kitu yenyewe sioHahaha sina depression mkuu nishapona masturbation ndo ilikuwa inaniletea ila saivi nishapona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo sasa hivi unakula kitu yenyewe sioHahaha sina depression mkuu nishapona masturbation ndo ilikuwa inaniletea ila saivi nishapona
Nenda kwa wa alafu tatuNitafutie mkuu nina hali mbaya ujue
YeahKwahiyo sasa hivi unakula kitu yenyewe sio
Lete nikuchapie uone km hutafutwiKama kichwa cha hapo imeandika, mimi sijawahi kudumu na mwanamke zaidi ya miezi sita nitaeleza kwa visa vya wanawake watatu.
Wa kwanza nilidumu nae kwa mwezi mmoja, wakaenda kwao likizo baada ya hapo mahusiano yakaisha akawa ana dharau hata nikimwita mara anisimamishe njiani. Kama siku moja aliniambia nisubiri akatoe hela kwa wakala nikasimama kama robo saa hajatokeza. Kila nikimsemesha hajibu message baadae kabisa akanijibu eti alikuwa bado anatoa hela, huyu demu alikuwa analeta dharau sana
Wa pili alikuwa akiishi Magomeni, basi sasa nikadumu nae kwa miezi kama mitatu. Mwanzoni alikuwa yupo na heshima ila baadae akaanza madharau mpaka kufikia kunitukana, nikaacha a nae.
Wa tatu ndio nilimpenda sanaaaa sijawahi kupenda demu kiasi hiki, nilijitahidi kadri niwezavyo tufurahi pamoja na heshima nilimpa kama zote mwanzo alikuwa na wivu nilichelewa kujibu message anakasirika, nilidumu nae almost 6 months tukaja kuachana kisa simjibu message nikajitetea yakaisha. Sasa miezi kama minne imepita nimesafiri hajawahi kuniulizia chochote nilivyo mwambia kama amezingua akaleta kelele nyingi kwamba simpendi namchezea tu, akasema tuachane kwakuwa sina future nae basi na mimi nikamuitikia na sijawahi kumtafuta tena, ila uliniumiza sana kuachana nae.
Wanawake wote hao na wengine wengi niliowahi kuachana nao sijawahi kuona hata mmoja akinisemesha kunijulia hali
Swali?
Kosa langu ni lipi. Au ni focus kwenye mambo ya maana kama Lusaka noti niachane na mademu daima?
Mkuu wanawake wanataka mtu anayeeleweka,akiona hakuelewi mambo yako hata huoe nani atakukimbia tu.Akilini mwangu Nimewaza nitafute demu hata mkubwa alienizidi kidogo anaonekana hana mambo mengi au nitafute demu bikra kwakua heshima zote atanipa
Mie nahisi hauko romantic...maana mahusiano mwanzoni inabid mwanaume ujitahid kumteka mwanamke akuone kama mume wake mtarajiwa , ajiskie salama na anapendwa.Nipe ushauri sio kunidhihaki madame
Wewe yundu zinakusumbua muone mwaposa.Kama kichwa cha hapo imeandika, mimi sijawahi kudumu na mwanamke zaidi ya miezi sita nitaeleza kwa visa vya wanawake watatu.