Sidumu kwenye mahusiano

Sidumu kwenye mahusiano

Kaka kwa mujibu wa story zako naona hao wanawake hakuna uliyemkuna vzr, wanawake ukiwapiga kipande kisawasawa hakuna zarau na hata wakiolewa ukimtaka una mpata, pole utakua haupo vzr kweye kupiga vipochi manyoya

Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app
Bro labda sijui jinsi ya kukuona vizuri ila najitahidi kwa uwezo mkubwa sana mpaka mwingine anasema anaumia
 
Bro na hapo ndipo nimejifunza uwa najifanya mpole sana kwa mademu yani najishusha sana kwa mademu mpaka rafiki zangu uwa wananiambia na nadhani hilo ndio sababu kuu ya kufanya demu anichukulie poa

Huyo demu sijui anatatizo gani maana siku ya kwanza nipo nae geto nataka nimle akaanza kuniambia jinsi kutolewa sealed inavyouma, akaniambia ilichukua almost one week na akaanza kusimulia her other X's kiukweli iliniumiza sana kila nikiwa nae nikakumbukia hayo maneno ila thaks god nimeachana nae na simuwazii tena,
Nitajitahidi sana kuwa "a bad guy" na ndicho rafiki yangu mmoja wa kike alivyoniambia kwamba mwanaume unatakiwa uwe mkali na hata mme wake mkali na ndivyo wanawake wanapenda
Usiwe mkali tu kwa wanawake bila sababu ya msingi, kua mkali pale wanavyo ku dissapoint na kuvuka mipaka yako.

Wanawake ni emotional wanaongea wanavyojisikia, wanafanya watachojisikia, Wanakupima!! What to do to controll them? Just make sure she is doing the right things to you, Tell her what you want, Tell her what you hate, Be a man of your words.

I'm logging out now, Don't be a Nice guy, Do the right things, Never allow disrespect from Women, They will use you!
 
Usiwe mkali tu kwa wanawake bila sababu ya msingi, kua mkali pale wanavyo ku dissapoint na kuvuka mipaka yako.

Wanawake ninemotional wanaongea wanavyojisikia, wanafanya watachojisikia, Just make sure she is doing the right things to you, Tell her what you want, Tell her what you hate, Be a man of your words.

I'm logging out now, Don't be a Nice guy, Do the right things, Never allow disrespect from Women!!
Sawa bro nitalizingatia hilo na nipo kwenye mchakato wa kufind another girl nita apply hili wazo lako zuri alafu nitaleta mrejesho

Thank you so much bro, I wish tungekua pamoja tunashusha alcohol
 
Ukikua utajua tu dogo. Kama hujamuandaa vema na kumfanya awe wet ni lazima atahisi maumivu au ataona kero tu unampotezea muda wake tu
Kweli bro haya unayoyasema ni ya kweli ila kuna mademu hawawet kabisa, kuna mmoja nilikua nae 2 years ago alikua hawet hata ufanye foreplay ya aina gani
 
Kama kichwa cha hapo imeandika, mimi sijawahi kudumu na mwanamke zaidi ya miezi sita nitaeleza kwa visa vya wanawake watatu.

Wa kwanza nilidumu nae kwa mwezi mmoja, wakaenda kwao likizo baada ya hapo mahusiano yakaisha akawa ana dharau hata nikimwita mara anisimamishe njiani. Kama siku moja aliniambia nisubiri akatoe hela kwa wakala nikasimama kama robo saa hajatokeza. Kila nikimsemesha hajibu message baadae kabisa akanijibu eti alikuwa bado anatoa hela, huyu demu alikuwa analeta dharau sana

Wa pili alikuwa akiishi Magomeni, basi sasa nikadumu nae kwa miezi kama mitatu. Mwanzoni alikuwa yupo na heshima ila baadae akaanza madharau mpaka kufikia kunitukana, nikaacha a nae.

Wa tatu ndio nilimpenda sanaaaa sijawahi kupenda demu kiasi hiki, nilijitahidi kadri niwezavyo tufurahi pamoja na heshima nilimpa kama zote mwanzo alikuwa na wivu nilichelewa kujibu message anakasirika, nilidumu nae almost 6 months tukaja kuachana kisa simjibu message nikajitetea yakaisha. Sasa miezi kama minne imepita nimesafiri hajawahi kuniulizia chochote nilivyo mwambia kama amezingua akaleta kelele nyingi kwamba simpendi namchezea tu, akasema tuachane kwakuwa sina future nae basi na mimi nikamuitikia na sijawahi kumtafuta tena, ila uliniumiza sana kuachana nae.

Wanawake wote hao na wengine wengi niliowahi kuachana nao sijawahi kuona hata mmoja akinisemesha kunijulia hali

Swali?

Kosa langu ni lipi. Au ni focus kwenye mambo ya maana kama Lusaka noti niachane na mademu daima?
Mahusiano mengi Sasa hivi hayana formula, huwezi kutumia muda mwingi kuwa karibu na mwanamke na Mambo mengi ya maana Kama kutafuta pesa yakawa bado yanakusubiri then bado unakomaa na mahusiano.

Mahusiano ya kweli ni Yale ya kuelewana na kuvumiliana katika kila Hali, Kuna msemo unasema "A man with dream need a woman who believe" Hapo hao ndo wanaitwa soulmates.

Huna kosa kuzidi hao wanawake uliowaacha, kwasababu hakuna binadamu aliyekamilika, ni kwasababu tu haikupangwa kwamba udumu na hao wanawake Kwa muda mrefu au kuwa nao kabisa kwenye mahusiano ya kudumu.

Tumia muda mwingi kujijenga, tafuta pesa, ukiona mwanamke amekuvutia jaribu bahati yako, ikishindikana piga chini, nasisitiza jijenge, ipo siku utapata wa kufanana nae.
 
Mahusiano mengi Sasa hivi hayana formula, huwezi kutumia muda mwingi kuwa karibu na mwanamke na Mambo mengi ya maana Kama kutafuta pesa yakawa bado yanakusubiri then bado unakomaa na mahusiano.

Mahusiano ya kweli ni Yale ya kuelewana na kuvumiliana katika kila Hali, Kuna msemo unasema "A man with dream need a woman who believe" Hapo hao ndo wanaitwa soulmates.

Huna kosa kuzidi hao wanawake uliowaacha, kwasababu hakuna binadamu aliyekamilika, ni kwasababu tu haikupangwa kwamba udumu na hao wanawake Kwa muda mrefu au kuwa nao kabisa kwenye mahusiano ya kudumu.

Tumia muda mwingi kujijenga, tafuta pesa, ukiona mwanamke amekuvutia jaribu bahati yako, ikishindikana piga chini, nasisitiza jijenge, ipo siku utapata wa kufanana nae.
Moja ya ushauri mzuri uliojaa hekima ni huu kutoka kwako Lighton , nimekuelewa sana nitafanya hivyo na nimeanza kufocus na mkwanja ili nijijenge vizuri japo sijawahi kufikiria kuoa ila nitakua na demu ambae tutaelewana naamini bado sijampata wa kufanana nae, from today nikiona demu analeta miyeyusho mimi ndie nitaanza kumtema na ni nimeeka nia sitampa asilimia zaidi ya 40 kwa upendo kwa mwanamke
 
Back
Top Bottom