Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu i advice don't be a Nice guy, Women will use you.Wapi hao? mademu zangu wote nilioelezea nilishawala, pia prositites nilishanunua sana
Mkuu mimi sipo Buguruni nipo tabata hapa... HapaWapi??
Pale buguruni Bakhresa kama Poor Brain
ππ hapana uwa simtumia afanye kitu tena najitahidi sana kuonyesha upendo kwake kupika, kuangalia movie tunaangalia pamoja tunafurahi pamoja tukitoka tunanunua vitu, tunaenda beach, labda nakosea ambapo siijui ila mara zote uwa namwambia ninapokosea niambie ila ndio hivyo inatokea ananiacha sababu kuu akisema namchezeaThe problem
nadhani umekaa hapo unajadili mapungufu ya hao wenzako vipi wewe ? kwa hizo relstionship you were perfect?? vipi umekaa kujiuliza na wewe unakwama wapi?
kingine sisi hatupend manipulation sana yaan unakua na mwanaume yeye ni ku-order tu na anataka hizo ordering zote uzifuate, ndo mnaita eti heshima ππ
Haha unapiga tungi,Mkuu i advice don't be a Nice guy, Women will use you.
Be a bad a**, Kama kuna demu umemuelewa focus on how to eat her bhasi!
Katika kuwala humohumo utakuta kuna mmoja tu akili yako inakwambia She is my wife, Usipo sense kama anafaa kua mke just bang her and go or She will use you!
Alcohol 40% now, I advice stop asking more questions π!
Anasema eti unapakia unga na sukari kwenye ndinga za bakhresaMkuu mimi sipo Buguruni nipo tabata hapa... Hapa
Aya basi huezi jua MUNGU anakuepusha na niniππ hapana uwa simtumia afanye kitu tena najitahidi sana kuonyesha upendo kwake kupika, kuangalia movie tunaangalia pamoja tunafurahi pamoja tukitoka tunanunua vitu, tunaenda beach, labda nakosea ambapo siijui ila mara zote uwa namwambia ninapokosea niambie ila ndio hivyo inatokea ananiacha sababu kuu akisema namchezea
Unayoyasema yoote ninayafanya na bado naachwa labda sababu ni kwamba nakua mpole sanaPunguzeni UMUNGU mtu kidogo jaribuni ku-maintain balance heshima sio mpaka unyenyekewe ka mfalme jamani ππππ
relationship is all about knowing each other/maintaining friendship
friends=Partiner for Life
Basi nakuja kwako moja kwa mojaAya basi huezi jua MUNGU anakuepusha na nini
achana nao utapata mnaependana π
ukikosa njoo kwangu πββοΈπββοΈ
Yaah mkuu! Usichekelee disrespect from her, Mfano akizidisha umbea, Kuwataja taja wanaume wengine mbele yako au Kama kuna sehemu mmeahidiana kukutana akachelewa kufika mkaripie kwa nguvu bila huruma.Haha unapiga tungi,
Sawa bro nitafocus kutokujifanya mpole sana maana Kuna sehemu mtandaoni niliona demu akisema wanawake wanapenda mwanaume mkali
Bro unanitamanisha na hizo tungi πππYaah mkuu! Usichekelee disrespect from her, Mfano akizidisha umbea, Kuwataja taja wanaume wengine mbele yako au Kama kuna sehemu mmeahidiana kukutana akachelewa kufika mkaripie kwa nguvu bila huruma.
Halafu akiomba msamaha msamehe na umwambie kwa ukali asirudie tena halafu rudinl kwenye kucheka kama kawaida.
View attachment 3185005
Tabata au kigamboni??Mkuu mimi sipo Buguruni nipo tabata hapa... Hapa
Mpe connection mwanangu sana Poor BrainHapana kwenye taasisi maarufu hapa nchini
Nitamcheki ila ninavyojua umri umeenda kidogoMpe connection mwanangu sana Poor Brain
Usirudie makosa, Don't be a weak Man!Bro unanitamanisha na hizo tungi πππ
nitafanya hivyo maana nimekua mpole sana kiasi kwamba mpaka kumfuata na nauli yangu namfuata kwao,
Kuhusu kunitajia X zake alianza kunitajia tangu first day tunaonana kabla hata sijamla
Ni kijana mdogo wa miaka 25 tuNitamcheki ila ninavyojua umri umeenda kidogo
Je hili swala la kutajiwa ma X zake ni sahihi? Mpaka her first boy alvyomnanliiUsirudie makosa, Don't be a weak Man!
Basi najuaga ni libabu KIZEE kumbe wa elfu 2Ni kijana mdogo wa miaka 25 tu
Alivyokua anakusimulia na wewe ukawa kichwaJe hili swala la kutajiwa ma X zake ni sahihi? Mpaka her first boy alvyomnanlii
Bro na hapo ndipo nimejifunza uwa najifanya mpole sana kwa mademu yani najishusha sana kwa mademu mpaka rafiki zangu uwa wananiambia na nadhani hilo ndio sababu kuu ya kufanya demu anichukulie poaAlivyokua anakusimulia na wewe ukawa kichwa
Maji, ukawa unamchekea chekea tu na kuuliza uliza jamaa alikumkunja staili gani π!
Huyo demu achana nae, usimtafute tena na akikutafuta ongea nae kidogo au kama kwa SMS chati nae kidogo then mwambie uko bussy utamcheki, usimcheki tena, Akianza kuona hard to get atajiengua, aking'ang'ana mtafune, pita hivi.
Tafuta demu mwingine aplly misimamo mipya, Siku nyingine demu wako akianza kukusimulia jinsi alivyoto*** na mshikaji mwingine mkalipie ukiweza mfukuze kabisa ghetoni.
Binafsi mwanamke asije akafikiri She can use anything kuchukua attention yangu- Her body, Her dress style, Her work whatever mi naangalia reslect kwanza, If she don't value my boundaries so will I?
Naachana nea at all, akiendea kuleta mashauzi namlaghai, namla, natembea.
Don't be a Nice guy, Do the right things π