Sidumu kwenye mahusiano

Sidumu kwenye mahusiano

Kama kichwa cha hapo imeandika, mimi sijawahi kudumu na mwanamke zaidi ya miezi sita nitaeleza kwa visa vya wanawake watatu.

Wa kwanza nilidumu nae kwa mwezi mmoja, wakaenda kwao likizo baada ya hapo mahusiano yakaisha akawa ana dharau hata nikimwita mara anisimamishe njiani. Kama siku moja aliniambia nisubiri akatoe hela kwa wakala nikasimama kama robo saa hajatokeza. Kila nikimsemesha hajibu message baadae kabisa akanijibu eti alikuwa bado anatoa hela, huyu demu alikuwa analeta dharau sana

Wa pili alikuwa akiishi Magomeni, basi sasa nikadumu nae kwa miezi kama mitatu. Mwanzoni alikuwa yupo na heshima ila baadae akaanza madharau mpaka kufikia kunitukana, nikaacha a nae.

Wa tatu ndio nilimpenda sanaaaa sijawahi kupenda demu kiasi hiki, nilijitahidi kadri niwezavyo tufurahi pamoja na heshima nilimpa kama zote mwanzo alikuwa na wivu nilichelewa kujibu message anakasirika, nilidumu nae almost 6 months tukaja kuachana kisa simjibu message nikajitetea yakaisha. Sasa miezi kama minne imepita nimesafiri hajawahi kuniulizia chochote nilivyo mwambia kama amezingua akaleta kelele nyingi kwamba simpendi namchezea tu, akasema tuachane kwakuwa sina future nae basi na mimi nikamuitikia na sijawahi kumtafuta tena, ila uliniumiza sana kuachana nae.

Wanawake wote hao na wengine wengi niliowahi kuachana nao sijawahi kuona hata mmoja akinisemesha kunijulia hali

Swali?

Kosa langu ni lipi. Au ni focus kwenye mambo ya maana kama Lusaka noti niachane na mademu daima?
Kosa mbona lipo wazi mkuuuu? Ukipata demu mwingine hakikisha unampa haki ya jinsia yake vilivyo yaan piga show kifundi acha kuramba ramba,, sugua Sana angel Zote usije ukasahau kunyonya ua,,, brooo mwanamke sio ndugu yako ifike wakati akisha kuona asisimka
Zingatia maadili, punguza nono ukimwi bado upo
 
Sawa bro nitalizingatia hilo na nipo kwenye mchakato wa kufind another girl nita apply hili wazo lako zuri alafu nitaleta mrejesho

Thank you so much bro, I wish tungekua pamoja tunashusha alcohol
Tumbili wa mjini Kitu cha Kwanza jitahidi mkune demu vizuri, ukitaka kujua kwamba unafanya vizuri kwenye hii idara Kuna wakati utaona yeye mwanamke mwenyewe anakuomba wewe game, pili jitahidi uwe mtu mwenye msimamo na maamuzi usikubali kupelekeshwa na hisia za mwanamke ukiona Jambo sio zuri limefanywa na mtu wako react hapo hapo Tena kwa ukali mwambie hiki sikipendi na Kama asipokusikiliza mpotezee Kama anakupenda kweli lazima tu utarudi kwako na kukuomba msamaha.Tatu sio kila kitu anachokuomba mtu wako uumpe hili Ni kosa lingine ili umjue vizuri mtu wako Ni vizuri sio kila kitu anachokuomba lazima uumpe sometime mnyime kwa kistaharabu mwambie Mimi huo uwezo wakukupa Hiyo hela kwasasa Sina nimepigika mno labda next time Mambo yakikaa sawa, mpe mtu wako time namaanisha maintain communication na mwenzako isipite muda mwingi bila kuongea nae either kwenye text au normal call ukishindwa kufanya hili kwa ufanisi Ni rahisi kuachwa wakati wewe unadengua Kuna mjuba anamjulia Hali karibia kila siku.
 
Back
Top Bottom