Sidumu kwenye mahusiano

Sidumu kwenye mahusiano

Mademu walivyo wengi ww unahangaika nao kabisa, tafuta hela mzeee baba. Yani mimi nikiwa na hela yangu mfukoni huwa natembea kifua mbele na popote napita , naenda mliman city kusaka watoto wa kishua wanao jifanya mambo safi . Tena huwa natongoza kwa kiengeleza[emoji28][emoji28]


Ukijifanya serious na mapenzi hutoboi,
Sawa bro labda nianze kamchezo ka ku "hit and run", yani niwe natongoza namla demu alafu tunaachana naenda kwa mwingine
 
Sikukatishi tamaa bali kuna vitu jnaweza kuviweka pembeni ukaendelea na mengine, Kuna siku vitakaa sawa. Kukomaa navyo sasa ni kupoteza tu muda
Sasa nikitamani ku $ex nifanyaje? Kununua dem siwezi kwakua wengi unakula kwa ndom, na nyeto niliacha kitambo
 
Kama unataka mahusiano ya kudumu ya kwenda kwenye ndoa. Waone watumishi wa Mungu au wataalamu wabobevu wahusiano. Kama ni mahusiano ya tamaa za ngono tu, usihangaike. Focus kwenye kutafuta pesa. Endelea kuboresha uchumi wako.
Sitaki mahusiano ya Kuoa ila nataka dem nisukume nae siku ikitokea anaolewa akaolewe na mimi niendelee na mambo mengine
 
Miaka 23 umesoma Geology? Katika level gani?

Ushauri wangu ni:
- Tafuta pesa kwanza.
- Mrembo atakaekufaa utampata
baada ya kutuliza akili. Warembo wa kuoa / kuanzisha mahusiano
nao wapo wengi tu. Bila shaka
wanakupima na kukuona bado
unaakili za kitoto.
Diploma bro, mimi sina akili za kitoto ila kuna demu aliniambia kwamba namchezea sitamuoa akawa hana matumaini na mimi sasa sijui nakosea wapi mpaka aseme hivyo, ila kujali msichana najali sana tu labda pengine ndio sababu naonekana mdhaifu sana
 
Fanya unachoona sahihi kwenye mahusiano! Mkuu ni ngumu sana kum-please mwanamke!
Dah hapa nina option tatu nisaidie ipi bora:
1)Kutafuta demu hata mkubwa kwangu anaejielewa

2)kutafuta demu bikra ili aniheshimu baadae

3)kuchezea mademu kwa kuwala na kuwaacha
 
Back
Top Bottom