Sidumu kwenye mahusiano

Lete nikuchapie uone km hutafutwi
 
Akilini mwangu Nimewaza nitafute demu hata mkubwa alienizidi kidogo anaonekana hana mambo mengi au nitafute demu bikra kwakua heshima zote atanipa
Mkuu wanawake wanataka mtu anayeeleweka,akiona hakuelewi mambo yako hata huoe nani atakukimbia tu.
Na kingine lazima uoneshe upendo kwa mwanamke hata kwa kuigiza tu Nunua zawadi sana tu na kumjali hata kama unaigiza tu ,hapo ngumu kukuacha hata kama ataenda kwingine atakumbuka unavyomjali hapo hawezi kuondoka.msifie umependeza usiwe mkatili kukasilika kila wakati.

Mwanamke sio tu unamchukua tu unamuweka ndani lazima muwe mnaelewana story nyinyi kama Rafiki pia sio tu kaa hapo tu .

Wanawake tunawawinda muda wote sasa wanaangalia wapi nitakuwa na Furaha ? Muda wote unalinganishwa na mtu.
 
Nipe ushauri sio kunidhihaki madame
Mie nahisi hauko romantic...maana mahusiano mwanzoni inabid mwanaume ujitahid kumteka mwanamke akuone kama mume wake mtarajiwa , ajiskie salama na anapendwa.

Mfano kujibu sms kwa wakati, akimind kidogo unajieleza usikaze sana mwanzo atakuona kama ni hit and run tu na kukupotezea mazima.
 
Wewe yundu zinakusumbua muone mwaposa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…