SIELEWI MANA YA HUU MSEMO,Msaada please wanajamvi...

nziriye

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Posts
1,050
Reaction score
363
Sina nia ya kuwatusi mama zangu,dada zangu,wasichana ,wanawake au mke wangu bt nimesikia na naendelea kusikia msemo mmoja unaopendwa kutumiwa huku mtaani kwetu eti,wanasema wanawake ni kama sahani ya hotelini inatumiwa inaoshwa then anakuja mwingine naye anatumia au wanawake ni kama siti ya daladala unaikalia ,unashuka anakuja mwingine naye anaikalia.....msaada wajameni hii misemo ina mana gani ?
 
ooopps just passing:A S-coffee: be rait bak
 
myuzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
 
Men are like daladala when you miss one another one is around the corner (Including me)
 
Maswali mengine bana utata mtupu.

Mie leo no comment . Kwaresima imeanza
 
Sina nia ya kuwatusi mama zangu,dada zangu,wasichana ,wanawake au mke wangu bt nimesikia na naendelea kusikia msemo mmoja unaopendwa kutumiwa huku mtaani kwetu eti,wanasema wanawake ni kama sahani ya hotelini inatumiwa inaoshwa then anakuja mwingine naye anatumia au wanawake ni kama siti ya daladala unaikalia ,unashuka anakuja mwingine naye anaikalia.....msaada wajameni hii misemo ina mana gani ?

bahat yako nimeanza kwaresima.
i irudie tena afta kwaresma i wl answa u akodingly.
 
Na wewe unasema nini?
 
sa ka umeskia mtaaani kwenu ndo uje utuulize sisi hebu kawaulize unaowasikia wakitamka............
 
lakini nina imani kuwa kama ni mtu wa kawaida kama mie mlalahoi nadhani umeshawah kusikia haya maneno,ila kama weye wa kishua ndo mana unashndwa pa kuanzia pa kujibu,what i knw ambacho kinatokea mara kwa mara ndo ambacho tunakidiscus hapa jamvini so ungependwa ukweli niupate wapi kama si kwa magret thinkes,hebu jaribu kidogo kuwa mwelewa na ujibu kama hujui kaa kimya .
 
bahat yako nimeanza kwaresima.
i irudie tena afta kwaresma i wl answa u akodingly.

rose umeanza kwaresma?sasa kuanza kwako kunakuzuia kujibu ama vipi?nikupashe basi mbona mie mwenyewe nipo ktk mfungo wa kwaresma au swali kama hli halipaswi kuulizwa kipindi hiki.
 
Sina nia ya kuwatusi mama zangu,dada zangu,wasichana ,wanawake au mke wangu bt nimesikia na naendelea kusikia msemo mmoja unaopendwa kutumiwa huku mtaani kwetu eti,wanasema wanawake ni kama sahani ya hotelini inatumiwa inaoshwa then anakuja mwingine naye anatumia au wanawake ni kama siti ya daladala unaikalia ,unashuka anakuja mwingine naye anaikalia.....msaada wajameni hii misemo ina mana gani ?
They mean a woman is wining device.....! And that is why when two men scramble for a woman, then the wining one is the winner and he spend with that woman very happily because he is a winner....! Ni msemo uliorahisi kueleweka, lakini nakushauri kamuulize mamayo au mkeo....! Watakupa facts....!
 
Sina nia ya kuwatusi mama zangu,dada zangu,wasichana ,wanawake au mke wangu bt nimesikia na naendelea kusikia msemo mmoja unaopendwa kutumiwa huku mtaani kwetu eti,wanasema wanawake ni kama sahani ya hotelini inatumiwa inaoshwa then anakuja mwingine naye anatumia au wanawake ni kama siti ya daladala unaikalia ,unashuka anakuja mwingine naye anaikalia.....msaada wajameni hii misemo ina mana gani ?

Nafikiri lengo lako kwa hii sredi ni hapo juu kwenye red, na sio kweli kwamba hujui hiyo misemo ina maana gani....🙁
 
:A S 13::A S 13:.....!!! asante Mungu kwa siku ya leo,najivunia kuwa mwanamke uliyeniumba kwa mfano wako!!!
 
Nasema watoto humu ndani wamekuwa wengi na adabu hawana. :hand:
 
Back
Top Bottom