Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na wanaume ni kama kijiko cha hotelini kinaingia kwenye mdomo wa kila mtu, hapo imekaaje? ngoma droo!!!Sina nia ya kuwatusi mama zangu,dada zangu,wasichana ,wanawake au mke wangu bt nimesikia na naendelea kusikia msemo mmoja unaopendwa kutumiwa huku mtaani kwetu eti,wanasema wanawake ni kama sahani ya hotelini inatumiwa inaoshwa then anakuja mwingine naye anatumia au wanawake ni kama siti ya daladala unaikalia ,unashuka anakuja mwingine naye anaikalia.....msaada wajameni hii misemo ina mana gani ?
bahat yako nimeanza kwaresima.
i irudie tena afta kwaresma i wl answa u akodingly.
Muulize hata yeye sisi ni marafiki tu.Ahaaa ahaaa ahaaa, I hope u are not planning to mess with her kama vile askari wa jiji wanavyo mess na wamachinga
i dont understand one thing,najua watu wengi mmeshawahi kusikia huu msemo na mie nikawa mmoja wapo na ndo mana hata nilipoanza nimeanza na apology kuwa sina nia ya kuwatusi jinsia ya kike,lakini kwa kuwa kuna mtu alianza kunihukumu eti nimewatukana kina mama na mtiririko wa comment ukawa kwenye kunihukumu na ndo mtindo uliopo humu jamvini ...akianza mmoja tu wooote wanafuata upande huo huo,sidhani kama nina kosa ktk kuongea hlo...anyways kwa niliyemkwaza SAMAHANI .
:a s 13::a s 13:
kumbe ulishajua kama hayo maneno yana maana mbaya na ndio maana umeanza kwa kujihami.Sina nia ya kuwatusi mama zangu,dada zangu,wasichana ,wanawake au mke wangu
kumbe ulishajua kama hayo maneno yana maana mbaya na ndio maana umeanza kwa kujihami.
Maneno ya mtaani yaache mtaani mheshimiwa au umesahau kuwa jf is the home of great thinkers?
myuzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
husninyo bt hata sie ma-great thinkerz si tunaishi mitaaani,anyways nimeelewa nimeteleza,nimekosea na ninakiri kama nimeteleza,haya tugange yajayo mkuu.
hivi hii nayo maana yake nini?
ebu nitokee hapa, kwani mwanaume hawezi kuwa sahani ya hotelini ukimaliza inaoshwa anatumia mwingine? au haiwezi kuwa cti ya dala dadala ukishuka anapanda mwingine? au coz wewe ni mkaka so ukaamua kulitupia hili suala kwa wadada?Sina nia ya kuwatusi mama zangu,dada zangu,wasichana ,wanawake au mke wangu bt nimesikia na naendelea kusikia msemo mmoja unaopendwa kutumiwa huku mtaani kwetu eti,wanasema wanawake ni kama sahani ya hotelini inatumiwa inaoshwa then anakuja mwingine naye anatumia au wanawake ni kama siti ya daladala unaikalia ,unashuka anakuja mwingine naye anaikalia.....msaada wajameni hii misemo ina mana gani ?
bahat yako nimeanza kwaresima.
i irudie tena afta kwaresma i wl answa u akodingly.
na wanaume ni kama kijiko cha hotelini kinaingia kwenye mdomo wa kila mtu, hapo imekaaje? ngoma droo!!!