PSYCHOLOGY
Senior Member
- Feb 10, 2011
- 177
- 14
Threads za nzirie utaziona nikulalamika lalamika kwenda mbele.i dont understand one thing,najua watu wengi mmeshawahi kusikia huu msemo na mie nikawa mmoja wapo na ndo mana hata nilipoanza nimeanza na apology kuwa sina nia ya kuwatusi jinsia ya kike,lakini kwa kuwa kuna mtu alianza kunihukumu eti nimewatukana kina mama na mtiririko wa comment ukawa kwenye kunihukumu na ndo mtindo uliopo humu jamvini ...akianza mmoja tu wooote wanafuata upande huo huo,sidhani kama nina kosa ktk kuongea hlo...anyways kwa niliyemkwaza SAMAHANI .
Lakin nakumbuka aliwahi kueleza alipata ka-degree kake ka Socialogy pale mlimani. Kama nmekosea ataniweka sawa.