SIELEWI MANA YA HUU MSEMO,Msaada please wanajamvi...

SIELEWI MANA YA HUU MSEMO,Msaada please wanajamvi...

i dont understand one thing,najua watu wengi mmeshawahi kusikia huu msemo na mie nikawa mmoja wapo na ndo mana hata nilipoanza nimeanza na apology kuwa sina nia ya kuwatusi jinsia ya kike,lakini kwa kuwa kuna mtu alianza kunihukumu eti nimewatukana kina mama na mtiririko wa comment ukawa kwenye kunihukumu na ndo mtindo uliopo humu jamvini ...akianza mmoja tu wooote wanafuata upande huo huo,sidhani kama nina kosa ktk kuongea hlo...anyways kwa niliyemkwaza SAMAHANI .
Threads za nzirie utaziona nikulalamika lalamika kwenda mbele.
Lakin nakumbuka aliwahi kueleza alipata ka-degree kake ka Socialogy pale mlimani. Kama nmekosea ataniweka sawa.
 
Threads za nzirie utaziona nikulalamika lalamika kwenda mbele.
Lakin nakumbuka aliwahi kueleza alipata ka-degree kake ka Socialogy pale mlimani. Kama nmekosea ataniweka sawa.

Who said nimesoma sociology ?wrong quote...by the wax napenda kulalamika always because hakuna fairness in this country ,when you raise your voice kuongea ukweli unaonekana mhaini,gaidi,mchochezi ,so ktk nchi kama hyo unakuwa na furaha ya nini?labda unambie wewe psychologist hujui hlo ama?
 
Pamoja na kuomba msamaha....
Maneno ya mtaani majibu yake huwa yanapatikana hukohuko mtaani na siyo JF.

Hata hivo haipendizi kuleta maneno ya mtaani humu ndani kwakuwa hayana mchango wowote kwa jamii yetu. Ni vema yakaepukwa hayo maneno ya mtaani ili kuweka tofauti kati ya watu wa mtaani na magret thinka.
 
nyadhiwa ina mana unakaa wapi ?mitaa au unakaa porini?hujui kuwa most of habari zinapatikana mitaani au wapi?just think critically and observe with your naked eyes then utaelewa kuwa habari,udaku,tetesi zinatoka mitaani then humu ndani ya jf ndo unapata udadavuaji yakinifu..its my hope kuwa more than 99 percentage ya wana-jf wanatokea mtaani na source ya habari ni huko huko mitaani na 1percentage ndo kina-nyadhiwa wanaoishi in vaccum ktk kadunia kake.
 
Back
Top Bottom