nziriye
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 1,050
- 363
Sina nia ya kuwatusi mama zangu,dada zangu,wasichana ,wanawake au mke wangu bt nimesikia na naendelea kusikia msemo mmoja unaopendwa kutumiwa huku mtaani kwetu eti,wanasema wanawake ni kama sahani ya hotelini inatumiwa inaoshwa then anakuja mwingine naye anatumia au wanawake ni kama siti ya daladala unaikalia ,unashuka anakuja mwingine naye anaikalia.....msaada wajameni hii misemo ina mana gani ?