Sina nia ya kuwatusi mama zangu,dada zangu,wasichana ,wanawake au mke wangu bt nimesikia na naendelea kusikia msemo mmoja unaopendwa kutumiwa huku mtaani kwetu eti,wanasema wanawake ni kama sahani ya hotelini inatumiwa inaoshwa then anakuja mwingine naye anatumia au wanawake ni kama siti ya daladala unaikalia ,unashuka anakuja mwingine naye anaikalia.....msaada wajameni hii misemo ina mana gani ?

sa ka umeskia mtaaani kwenu ndo uje utuulize sisi hebu kawaulize unaowasikia wakitamka............
bahat yako nimeanza kwaresima.
i irudie tena afta kwaresma i wl answa u akodingly.
They mean a woman is wining device.....! And that is why when two men scramble for a woman, then the wining one is the winner and he spend with that woman very happily because he is a winner....! Ni msemo uliorahisi kueleweka, lakini nakushauri kamuulize mamayo au mkeo....! Watakupa facts....!Sina nia ya kuwatusi mama zangu,dada zangu,wasichana ,wanawake au mke wangu bt nimesikia na naendelea kusikia msemo mmoja unaopendwa kutumiwa huku mtaani kwetu eti,wanasema wanawake ni kama sahani ya hotelini inatumiwa inaoshwa then anakuja mwingine naye anatumia au wanawake ni kama siti ya daladala unaikalia ,unashuka anakuja mwingine naye anaikalia.....msaada wajameni hii misemo ina mana gani ?
Sina nia ya kuwatusi mama zangu,dada zangu,wasichana ,wanawake au mke wangu bt nimesikia na naendelea kusikia msemo mmoja unaopendwa kutumiwa huku mtaani kwetu eti,wanasema wanawake ni kama sahani ya hotelini inatumiwa inaoshwa then anakuja mwingine naye anatumia au wanawake ni kama siti ya daladala unaikalia ,unashuka anakuja mwingine naye anaikalia.....msaada wajameni hii misemo ina mana gani ?
Nafikiri lengo lako kwa hii sredi ni hapo juu kwenye red, na sio kweli kwamba hujui hiyo misemo ina maana gani....π
:A S 13::A S 13:.....!!! asante Mungu kwa siku ya leo,najivunia kuwa mwanamke uliyeniumba kwa mfano wako!!!
Sipendi watu wasiowaheshimu kinamama/dada.inabidi tumzirie thread yake kama jina lake.Nafikiri lengo lako kwa hii sredi ni hapo juu kwenye red, na sio kweli kwamba hujui hiyo misemo ina maana gani....π