Siendi Mkoani Ng'ooo!! Dar es salaam is the future! Mikoani ni didimizo la uchumi binafsi

Siendi Mkoani Ng'ooo!! Dar es salaam is the future! Mikoani ni didimizo la uchumi binafsi

huyu atakuwa na akili ya bongo movie stars, wakihojiwa ktk TV huwa wanapenda chomokea kiingereza wakati wanafiri kinyakyusa, mwishowe wanachanganya "right na Light", "Lice na Rice", "Rap na Rape na Lap, Lape","Brother an Blazzer".....flow nzima ndiyo.

Naomba JK akiondoka na kuja Rais nitapenda uje changia...kazi za network na mitandaoa fulani inayokupa motisha soon ikiurugika unaweza rudia akili kidogo.

Dar is the simplest City to conquer when you desire,but finally you become trapped in ego......ndio maana kila baada ya kuda fulani, dara hushangaa watu fulani role models kutoka mikoani hadi dar.

BY the way hata jamaa waliokuwa akijiipua Ulaya ,walikuwa na fikra km hizi, sasa wana wanashangaa wenzao wamejenga nchi na kujenga maisha yao.Ndio nao wanajirudisha.

Baada ya maisha ya kitapeli, ya deci deci, forever living na unga, na network za kifisadi na kutumika watu kufiia saturated akili itakurudia.

By now hembe maintain mwili kwanza usiwe km rhino....ukijiaminisha nguo za bei zitakupendezesha.
 
Naona karibia yote yamesemwa lakini nikumbushie tu kwamba "ugumu wa maisha ni kipimo cha akili" hapa kikubwa ni "EXPOSURE" popote pale penye makazi ya watu unaweza kabisa kutoka with happier and joyful life unlike that of cut-throat competing.. niko hapa Dar lakini kiukweli majority wanaishi in a very low standards of living compaired to Arusha.. mwisho niwewe tu kuwa creative na kujiamini baasi..

watu wa arusha bwana na usibishe kwani nimeishi hapo for more than ten yrs,,between arusha and dsm kuna mwanza,,pia maisha ya arusha na dsm hamna tofauti,kikubwa ni arusha population ndogo,,unabisha??
 
A LARA1 CODE MIXING style,napenda haka ka style mana kanachangamsha.
NARUDI KWENYE MADA.
kimsingi dar ni nzuri kibishara.
UKWELI MWINGINE.
mafisadi wengi na biashara zao wapo hapa,NGO za wapiga hela,millions and millions wapo hapa,wauza sembe wapo hapa,biashara za wizi wizi zipo hapo.
KILICHOPO DAR SIYO CHALLENGE KUBWA ZINAFANYA WATU WATOKE.
mfumo wa uendeshaji wote wa nchi nzima upo Magogoni na dar es salama,kila kitu kinafanyika dar but not challenge as a reason,wizi wote wa mafisadi na mipango ya madili ya tenda za ujanja ujanja vyote hapa hapa bongo.HAPA dar WATU WANAIBA ZAIDI YA MAXMUM.
KITU KINGINE.
watu wanatengeza hela mikoani lakini wanakuja kujenga dar,kwa hiyo siyo kila aliyejenga hapa dar kapata hela dar,MFANO.kuna mtu analipwa 30ml buzwagi na huyu siyo mwenye mshahara mkubwa kupita wote,watu kibao wanafanya kazi buzwagi,GGM,bulyankulu,mwadui LAKINI WANALALA DAR kila siku NA ASUBUHI WANAAMKIA SHY NA GEITA,nao wamejenga dar kwa pesa ya nje ya dar.
KAMBI KAMA INALIPA POPOTE PIGA,KUJENGA DAR.
 
nikuambie kitu mkuu Malila?. nilikuwa naangalia documentary moja inaitwa mugabe and the white african. nikajiuliza mbona wale wazungu wa zimbabwe walikua wanaishi mashambani?. nikagundua walishaona pesa nyingi iko wapi. kale ka documentary kanakohusu mji wa kigamboni kanaanza na mzungu mmoja kusema kwamba ''tanzania is the land of milion opportunities''. we unafikiri ni opportunities gani kama sio ardhi, madini , mito yetu na misitu. watanzania tunatakiwa kujua kwamba kuajiriwa ni second choice baada ya kushindwa kujiajiri.

Mkuu inauma sana,
Mimi niko shambani tayari.Mjini narudi kusalimia familia. Ninapoyaona mahindi ya Wazungu pale Mawambala Iringa,akili inapata shida kidogo. Huku shambani nakimbizana na hawa Wazungu kila siku, tofauti ni moja, wao wanakaa huku huku shambani sisi tunarudi mjini kulala. Si ajabu na mimi nikahamia porini.
 
What we use to see in dsm ni "soko" na "competitions" in the champions league.but more opportunities are in mikoani.
 
Uko sahihi kabisa lara 1 Kama unafanya trading au industrial production kwa kiwango cha juu hauwzi kuwa centered mkoani, labda Arusha, Mwanza, au Morogoro kidogo. Mkoani labda uwe na project za kuzalisha mazao ya kilimo na ufugaji utafanikiwa. Mkoani ni sehemu ya kutaftia mtaji, ukishapata unarejea mjini kwenye ushindani, binafsi niko kusini nafkuzia mtaji, zikitimia tu nazohitaji narudi mjini kutekeleza project zangu mbili ambazo mpaka sasa Dar hakuna, na hii siri sijawahi kumwambia yeyote kwa maana naelewa ujanja kuwahi nitakuta ishakula kwangu.
 
Last edited by a moderator:
Kimantiki uko sawa kabisa.....hata ukitazama mikakati mingi ya serikali ni kuendeleza dar es salaam kuliko mikoani. i mean kila kitu kinafikiriwa kuletwa dar. Mimi nashauri ndugu zangu wahamaie dar....dar ni mwisho wa yote. huwezi kufa dar kama unajishughulisha.......
 
huyu atakuwa na akili ya bongo movie stars, wakihojiwa ktk TV huwa wanapenda chomokea kiingereza wakati wanafiri kinyakyusa, mwishowe wanachanganya "right na Light", "Lice na Rice", "Rap na Rape na Lap, Lape","Brother an Blazzer".....flow nzima ndiyo.

Naomba JK akiondoka na kuja Rais nitapenda uje changia...kazi za network na mitandaoa fulani inayokupa motisha soon ikiurugika unaweza rudia akili kidogo.

Dar is the simplest City to conquer when you desire,but finally you become trapped in ego......ndio maana kila baada ya kuda fulani, dara hushangaa watu fulani role models kutoka mikoani hadi dar.

BY the way hata jamaa waliokuwa akijiipua Ulaya ,walikuwa na fikra km hizi, sasa wana wanashangaa wenzao wamejenga nchi na kujenga maisha yao.Ndio nao wanajirudisha.

Baada ya maisha ya kitapeli, ya deci deci, forever living na unga, na network za kifisadi na kutumika watu kufiia saturated akili itakurudia.

By now hembe maintain mwili kwanza usiwe km rhino....ukijiaminisha nguo za bei zitakupendezesha.

HAHAHAAAAAAA! Inaonekana hatufahamiani, Ngoja nijitambulishe LARA 1, C.P.A (T), MBA, Soon to be CFA. Ngoja niishie hapo! Hata aje raisi gani, MJINI SICHEMSHI MAISHAAAAAAAAA!!!!!!!!!!!!!

We usifikiri kuzaliwa kote dar nashangaa maghorofa tu! Thubutu yakoooooo!

BTW WE LIMA HUKO USIACHE KUTULETEA MAINDI MABICHI, NAPENDA SANA YA KUCHOMA! LOL!
 
Lara 1 tenga japo siku 5 tu kwa kila miezi miwili uzungukie mikoani, nakuahidi utaifuta kauli yako!Wengi hata hao unaowaona ni ma DON wa Dar wamewekeza sana mikoani na jeuri ya pesa ya mikoani ndiyo inawaweka mjini. Mikoani kuna fursa nyingi sana sema tatizo ni watu wachache wa mikoani ndiyo wanaozifanyiakazi fursa zinazopatikana.

Mkoani wachovu tu! (Si maanishe nyie specifically jamani but generally) Mi naenda sanaa kutafuta masoko mkoani, ila hamna ISHU kama Dsm! Hata kupata sehemu ya kula nyama choma ya ukwee ishu! Nisianze na club zao na disco, nitarushiwa mawe!

Mauzo ya DSM ni nomaa kuliko mikoa yote! CHEZEA! Hamna ishuu kabisaaa mkoani! Watu wanaishi kusurvive tu ili wajenge nyumba 2 na gari 2 na kusomesha watoto! SIFUTI KAULI!!!!!!!!!
 
hahahahhaha,,,,,nimefurahi na nadhani hujawahi ishi mikoani,,mfano wangu ni mwanza,,,
1.uchumi wa dsm ni tofauti na mikoani ila watu hawajaridhika ka unavyodhani
2.nimebahatika kusomeshwa na mzazi wangu kwa raha,,na trust me watu walioko ist,heaven of peace,ism,st.constantine kwa o na a-level mwanza ni wengi na i used to meet with them at airport au ism moshi,,
3.kuhusu investments,mapato ya wakazi wa mwanza yanatofautiana na dsm ila huku awards za ku deposit pesa bila kutoa ndani ya mwaka za tz wafanyabiashara wa mza wanaongoza,,,
kikubwa kipato cha dsm ni tofauti na mza ila hypothesis yako haina mantiki,,,,ukija mza nitafute nikupe tips za kutosha

HAHAHAAAAAA! Mwanza Bwiru hapo kuna my sis hapo na shemeji yangu,! BTW nimekaa sanaa, na nakujaga kikazi sanaa, na huyo my sis anafanya biashara huko! Kila siku anafanya kuhama business! Hadi kakubali kufungua mradi DSM ndo unamlipa! Alijenga tu ki 1 storey residential building cha kuishi kule nyakato kila baada ya mda anatakiwa engineer wa city akague, na anakuja kweli!!!!!!!!!!!! Chezea wanyantusu wewe!

BTW THE FISH IS SUPERB!!!!!!!!!! NITUMIE BASI SATO HIZO AU FILLET! LOL!
 
Mkoani wachovu tu! (Si maanishe nyie specifically jamani but generally) Mi naenda sanaa kutafuta masoko mkoani, ila hamna ISHU kama Dsm! Hata kupata sehemu ya kula nyama choma ya ukwee ishu! Nisianze na club zao na disco, nitarushiwa mawe!

Mauzo ya DSM ni nomaa kuliko mikoa yote! CHEZEA! Hamna ishuu kabisaaa mkoani! Watu wanaishi kusurvive tu ili wajenge nyumba 2 na gari 2 na kusomesha watoto! SIFUTI KAULI!!!!!!!!!

Kuhusu luxuries nakubaliana na wewe kwa kiasi fulani lakini hapo kwenye Bold nauhakika hauna taarifa za kutosha kuhusu mikoani. Narudia kusema kuwa ni wachache ukilinganisha na Dar lakini kuna watu wanafanya kufuru ya hela mikoani kuliko hata hao ma-DON wako wa Dar. Tena kwa taarifa yako mtu aliye serious mikoani anatusua kwa urahisi kuliko dar kwa investment ndogo tu ambayo huwezi kuifikiria.
 
HAHAHAAAAAAA! Inaonekana hatufahamiani, Ngoja nijitambulishe LARA 1, C.P.A (T), MBA, Soon to be CFA. Ngoja niishie hapo! Hata aje raisi gani, MJINI SICHEMSHI MAISHAAAAAAAAA!!!!!!!!!!!!!

We usifikiri kuzaliwa kote dar nashangaa maghorofa tu! Thubutu yakoooooo!

BTW WE LIMA HUKO USIACHE KUTULETEA MAINDI MABICHI, NAPENDA SANA YA KUCHOMA! LOL!

kwani unadhani shida ni vyeti, au mengine unayodhani...shida ni kwamba elimu yako haikusaidii badili mazingira ili yawe favourable kwako na wengine.Ila ni kutumia walichobadili wengine.Pengine umenielewa.

Nature na survival ya binadamu ni kubadili mazingira yaweze msaidia, na elimu ni mojawapo ya tools ,muhimu.Naona elimu yako ni msaada wa kutumia walivyojenga wengine ndio maana unajitahidi sana kutuonyesha kuwa unavyo vyeti vya akuhalalisha wewe kuchagua mji wenye maendeleo waliyoleta wengine ili ukatumbue tena big.Sioni hata kwanini ulisoma km lengo ni kudandia waliyofanya wengine.Si ungejituma km wengine wanaoosha sura na kuuza sura tuu.

Siamini kuwa wasomi wa kibongo ni wa hovyo hivyo...wanasoma ili watumbue na si kuzalisha in abundant..ndio maana ma CCM yanasoma ili yapate uhalali wa kukaa palipo na vya kuiba hata km ni kuwalaza watanzania 100,000 + njaa.......

Kwa heri....ungezaliwa down town Manahatan ungekuja Africa?
 
HAHAHHAAAAAAAAAAAAAAA!!!!!!!!!!!!! WATU WA SHAMBA NAO! THEY THINK CAUSE THEY CAN TALK THEN WE GOTTA DO WHAT THEY TELL US!!!!!!!!!!!! TALK IS CHEAP MAN!!!!!!!!!

Btw im BEYOND PROUD OF THOSE CERTIFICATES CAUSE I EARNED EACH N EVERYONE OF THEM! I invested more than 15yrs in that quest! Anyways They are MY certificates and i am proud of them, think what you may!!!!!!

I always do what I want to do! I seriously dont care what you do! Hamia hata msituni all i care, ILA SIONDOKI DARESALAMAAAA MAISHAAAAAAAAA!!!!!!!!!! HABARI NDO HIYO!
 
Kuhusu luxuries nakubaliana na wewe kwa kiasi fulani lakini hapo kwenye Bold nauhakika hauna taarifa za kutosha kuhusu mikoani. Narudia kusema kuwa ni wachache ukilinganisha na Dar lakini kuna watu wanafanya kufuru ya hela mikoani kuliko hata hao ma-DON wako wa Dar. Tena kwa taarifa yako mtu aliye serious mikoani anatusua kwa urahisi kuliko dar kwa investment ndogo tu ambayo huwezi kuifikiria.

Well i give you the benefit of the doubt!!!!!!!!! Fine! Okay! Mikoani KIDOGOOO kuna wabishi ila usisahau principle ya MAJORITY RULES MINORITY RIGHTS!!!!!!!!! Sasa je majority wa mkoani wanasimamia wapi?
 
Haya dada wewe endelea tu kukomaa na jiji na sisi tupo mikoani lakini weekend wote tutakutana kwenye meza ndefu viwanja hapo mjini.
 
HAHAHHAAAAAAAAAAAAAAA!!!!!!!!!!!!! WATU WA SHAMBA NAO! THEY THINK CAUSE THEY CAN TALK THEN WE GOTTA DO WHAT THEY TELL US!!!!!!!!!!!! TALK IS CHEAP MAN!!!!!!!!!

Btw im BEYOND PROUD OF THOSE CERTIFICATES CAUSE I EARNED EACH N EVERYONE OF THEM! I invested more than 15yrs in that quest! Anyways They are MY certificates and i am proud of them, think what you may!!!!!!

I always do what I want to do! I seriously dont care what you do! Hamia hata msituni all i care, ILA SIONDOKI DARESALAMAAAA MAISHAAAAAAAAA!!!!!!!!!! HABARI NDO HIYO!

Haha..kama ni kuchuma vyepesi ...ulikuwa na haja gani kusoma au kuhalalisha kwa vyeti?Wala si mabishano ila ni reasoning too?

Madada poa nao hujisikia sana kujiamini wanapojua lugha nyingi za wateja wao, au kuonekana wasomi ktk biashara zao,na mara nyingi huwaponda sana wenzio wanaoongea Lugh moja ya kimataifa.Waswahili wengi hukimbizana na vyeti ili wawe huru ponda wengine wanaofanikiwa bila kupitia hizo njia.......ni kua buse elimu..

Umeinvest 15yrs kupata vyeti na si elimu ya ku badili dunia inayokunguka...?Once mna exhaust mazingira waliyojenga wengine nchi itakuwa mbaya sana.
 
Hoja ya msingi ni Dar es Salaam mtu unafanya kazi gani na unaishi wapi? Na je, wenzako ni akina nani? Vinginevyo nawashauri vijana kwenda mikoa kuna fursa nyingi. Hapa Dar panafaa wenye mitaji mikubwa na kazi zenye nafasi ya kuiba.
 
Haya dada wewe endelea tu kukomaa na jiji na sisi tupo mikoani lakini weekend wote tutakutana kwenye meza ndefu viwanja hapo mjini.

Hahahaaaaaaaaa! Afu mnakuwaga na ugwadu si mchezo!!!!!!!! Sie mission town tunaagiza shots za mawazo nyie miznga mi 3 mitatu, haswaa watu wa mgodini! Pombe shurti mchafue meza japo hamnywi zote kwa mpigo!
 
Back
Top Bottom