Pre GE2025 Sifa anazopewa Rais Samia, katika mikutano ya hadhara, nyingine hazimstahili

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hivi kama mtu ulikuta upuuzi unafanyika nawe ukauendeleza, tafsiri yake ni nini?
 
Ni kweli kabisa, muasisi wa upuuzi wote unaotokea hapa nchini, muasisi wake ni Mwendazake.

Hivi hiyo misafara ya Rais kuambatana na askari kadhaa, wakiwa wameshika mabunduki ya kivita, halafu bado watawala wetu, wanatwambia kuwa nchi yetu ni kisiwa Cha amani!😗
 
Shida ipo kwetu wapiga kura amini nakwambia CCM waote hawazidi 15m nchi nzima sisi tupo zaidi ya 40m ambao cyo wanachama halisi unaweza kujiuliza tuna kwama wapi
 
Anazipenda na anazifurahia.
 
Wewe jamaa kiazi kweli kwani hapo tazara anapita Magufuli na familia yake tu au hapo salenda unapopasema??
Kwani yeye nani hadi nifikiri hivyo kama wewe unamuabudu muabudu wewe usilazimishe kila mtu afanye kama wewe,kiazi wewe na huyo bwana wako.
Mjusi wewe.
 
Wanampumbaza ili waibe zaidi nayeye hashituki, subiri watakavyomnanga akitoka madarakani, haohao watesema nchi ilikuwa kwenye auto pilot
 
Kwani yeye nani hadi nifikiri hivyo kama wewe unamuabudu muabudu wewe usilazimishe kila mtu afanye kama wewe,kiazi wewe na huyo bwana wako.
Mjusi wewe.
Hivi kwani ni lazima kila mtu ajue kuwa wewe ni mjinga??
 
Nikikumbuka ya March 2021 nahisi yatajirudia
 
Mama anaupiga mwingi hadi unamwagika na kumfanya Luca kububujikwa machozi ya furaha mda wote.

Mi namsifia Bimkubwa bila unafki kwenye SGR ila maua yangu nitampa reli zikifika Kigoma na Mwanza, tena Maza awahi kumaliza ujenzi kabla Kenya hawajamaliza maandamano na kumalizia reli yao kutoka Naivasha na kufika Kisumu Busia mpakani na Uganda.

Tuendelee kuwaombea Kenya waendelee kudidimia kwenye ufisadi na ukabila na maandamano huku sisi tz akili kubwa bila makeke na sifa za jobless kuvaa suti tunajenga nchi.
 
Kama ni makufuli ndio muasisi basi ni kweli maana makufuli alikuwa muasisi wa miradi yoote ya maendeleo mama samia kaja kusimamia TU. Kusifiwa makufuli ilikuwa haki yake ni mtu aliyeifungua tanzania kwenye maaendeleo na miradi leo hii miaka mitatu ya mama samia hakuna alichokifanya zaidi ya kusimamia miradi iliyofanywa na makufuli. tena angekuwepo mwenyewe miradi yote ilikuwa imeisha 2023 mama kasimamia lakini kazi zinaenda polepole mpaka tunachoka na pesa kuliwa sana bado miradi haziishi na usimamizi mbovu
 
Pamoja na kwamba Samia hastahili kupewa sifa ya mradi huu, Ila tukisema ni wa Katto basi tunakosea,
Basi ni wa Mkapa aliyeuasisi SGR na mengine


Britanicca
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…