Mystery
JF-Expert Member
- Mar 8, 2012
- 15,843
- 31,057
- Thread starter
- #61
Umenena ukweli mtupu...........Tena za kipumbavu! Kumpamba vile kama Mungu mtu ni hatari sana sana!
Ona kilichomtokea Sheikh Hasina!
Wapambe na Chawa walimpamba bila kumwambia ukweli mpaka akajiona irreplaceable! Ilibidi ndugu, watoto, viongozi wa kijeshi wawe kama wanamburuza aokoe maisha yake!
Mtaani maisha magumu, ajira hakuna, huduma za afya duni, elimu bado watoto shule za msingi wanabanana kwenye madawati na hata shule bado za tembe, umeme sio wa uhakika, barabara nyingi hazipitiki, huduma ya maji duni kama ulivyoona Morogoro, huduma kwa raia zimezorota, wasaidizi wa mama ni Bata, ngono, kulawiti, kunyanyasa, kujilimbikizia mali na kujali matumbo yao tu!
Mama sikiliza raia hao wapambe na Chawa watakuponza kama mwenzako sheikh Hasina!
Huyu Mama anasubiri vijana wa Gen Z wavamie Ikulu yake na kusomba Kila kilichopo hapo, Ili ndiyo ajue kuwa wananchi hawaridhiki na utawala wake?😗