Pre GE2025 Sifa anazopewa Rais Samia, katika mikutano ya hadhara, nyingine hazimstahili

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Jpm aliifanya mirad kuwa yake kwa kuimalizia ? ulitaka asimalizie ? au aliipa majina yake ? au aliandikisha umiliki wake?

Machawa wa mama huwa hamchoki kumtupia lawama Jpm kwa makosa ya mama
 
Tena za kipumbavu! Kumpamba vile kama Mungu mtu ni hatari sana sana!
Ona kilichomtokea Sheikh Hasina!
Wapambe na Chawa walimpamba bila kumwambia ukweli mpaka akajiona irreplaceable! Ilibidi ndugu, watoto, viongozi wa kijeshi wawe kama wanamburuza aokoe maisha yake!
Mtaani maisha magumu, ajira hakuna, huduma za afya duni, elimu bado watoto shule za msingi wanabanana kwenye madawati na hata shule bado za tembe, umeme sio wa uhakika, barabara nyingi hazipitiki, huduma ya maji duni kama ulivyoona Morogoro, huduma kwa raia zimezorota, wasaidizi wa mama ni Bata, ngono, kulawiti, kunyanyasa, kujilimbikizia mali na kujali matumbo yao tu!
Mama sikiliza raia hao wapambe na Chawa watakuponza kama mwenzako sheikh Hasina!
 
Hakuna jipya kwa sababu hali hii haijaanzia awamu ya 6, ilianza tangu awamu ya 4 ika mature awamu ya 5 na kuendelea hadi awamu hii
 

Sidhani kuwa Magufuli alikuwa anasifiwa kwa kutoa hela kwa ajili ya miradi hiyo Bali alikuwa anasifiwa kWa kuanzisha na kusimamia miradi hiyo kwa karibu sana. Kinachonishangaza zaidi siku hizi kila mradi ni mabilioni mengi sana ya pesa.
 
Nadhani shida ni kwamba you just don’t like the ruling party
 
Sidhani kuwa Magufuli alikuwa anasifiwa kwa kutoa hela kwa ajili ya miradi hiyo Bali alikuwa anasifiwa kWa kuanzisha na kusimamia miradi hiyo kwa karibu sana. Kinachonishangaza zaidi siku hizi kila mradi ni mabilioni mengi sana ya pesa.
Alışığına kWa kila kitu
1. Ccm ya magufuli
2. Tanzania ya magufuli
3. Pesa za magufuli
4. Bwawa la magufuli
5. Fıkra za magufuli
 
Alışığına kWa kila kitu
1. Ccm ya magufuli
2. Tanzania ya magufuli
3. Pesa za magufuli
4. Bwawa la magufuli
5. Fıkra za magufuli
Siyo kwamba ametoa hela; leta video clip inayosema alıyosanız hela za mradi
 
Itaku na kumbukumbu fupi sana
Nina kumbuka vizuri sana. Magufuli alikuwa anatamba kuwa pesa hizo zilikuwa zinapigwa sana zamanı na wa janja ila sasa zinafanya mambo kuendeleza nchi
 
Sasa mtoa mada ulikuwa unataka sifa apewe Nani.Dereva wa basi Tanzania kwa Sasa ni yeye na sisi abiria lazima tumpe maua yake kwa kutuendesha vizuri..Subiri na wewe zamu yako ikifika tutakupongeza
 
Angeacha kuendeleza hiyo miradi akaanzisha ya kwake..ungekuja hapa na povu lako la chuki pia..Tulia mama aijenge nchi..
 
Yanayotokea Sasa Kwa mama Samia ni hatua ya mwisho ya kuanguka kwa umaarufu. Wanampandisha juu ili waweze kumwangusha vizuri mahasimu wake ndani ya chama. Angetakiwa ashtuke mapema lakini bahati mbaya analewa na sifa za uongo. Badala ya kuishi na ukweli anangangania uwongo wa kina Lucas... Ngoja tuone, nipo palee
 
Hujielewi,wewe sawa na msukule.
 
Pamoja na kwamba Samia hastahili kupewa sifa ya mradi huu, Ila tukisema ni wa Katto basi tunakosea,
Basi ni wa Mkapa aliyeuasisi SGR na mengine


Britanicca
Kwenye comment yangu hakuna sehemu nimesema hiyo miradi ya huyo sijui Katto! Kwanza simjui.
 
Jpm aliifanya mirad kuwa yake kwa kuimalizia ? ulitaka asimalizie ? au aliipa majina yake ? au aliandikisha umiliki wake?

Machawa wa mama huwa hamchoki kumtupia lawama Jpm kwa makosa ya mama
Msukule hujielewi.
 
Do you know the meaning of the term "Political Hypocrisy" ?? And the term "bootlicking"???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…