🥺🙄😱Japo simjui, tumshukuru mheshimiwa rais daktari profesa SSH kwa hili pia.
Yeye mwenyewe anasema wanatuona kama manyani? Huoni kama kaitafuta laana mwenyewe?Ila unajivunia na kumtukuza anayefuga chawa mpaka na wewe unaanza kujiita chawa? Sawa Mheshimiwa Huihui![]()
![]()
Andika maneno (lyrics) hapa tuone nani mkweli kati yangu na weweYaani hata maudhui ya nyimbo umetoka kapa?
Basi mchangieni kwenye zile hela mnakusanya kwenye Tone ToneHili ndo tatizo la CCM. Angejua mtashangilia kifo chake asingeenda muhimbili.
Mungu ni mwema wakati woteApumzike kwa amani
Mnaua ili achangiwe? Mungu hapendi.Basi mchangieni kwenye zile hela mnakusanya kwenye Tone Tone
Hana ubongo wenye uwezo wa kuchakata mambo huyo.Yaani hata maudhui ya nyimbo umetoka kapa?
Amefariki akiwa mdogo sana.Mungu amlaze mahali pepa dada Sifa Bujuni. Poleni kwa wote mlioguswa na msiba huu na wale wote wanaopinga uonevu nchini
Kabisa..ukute wabaya wake wameamua kumuwahisha. Nchi ngumu sanaAmefariki akiwa mdogo sana.