TANZIA Sifa Bujuni aliyeimba 'Mnatuona Nyatu tu' amefariki Dunia hospitali ya Muhimbili alikokuwa akipatiwa matibabu

TANZIA Sifa Bujuni aliyeimba 'Mnatuona Nyatu tu' amefariki Dunia hospitali ya Muhimbili alikokuwa akipatiwa matibabu

Rest In Peace Sifa Bujune
 

Attachments

  • SIFA RIP.mp4
    2.7 MB
Watu wa Mbeya ni wakosoaji wa mamlaka bila kujali wana nyadhfa gani aisee.

RIP Sifa.
 
Mungu amunguzie adhabu ya kaburi,amekuja na ameweka alama nzuri🕊️🕊️
 
Wakuu,

Sifa Bujuni aliyeimba 'Mnatuona Nyatu tu' amefariki Dunia hospitali ya Muhimbili alikokuwa akipatiwa matibabu, baba yake mzazi athibitisha hilo.

Mhh...... Mungu amlaze pema.

Pia soma Mbeya: Msanii wa Nyimbo za Injili, Sifa Bujune ashikiliwa kwa tuhuma za kuimba wimbo wenye maudhui ya uchochezi

Hivi Charles Hilari ameshazikwa au bado.
Sijui nimewaza nini lakini ?
Ok kifo ni kifo tu.
Huyu Mungu muumba wa vyote halali wala hasinzii
 
Back
Top Bottom