Sifa kwao HBO na AMC

Sifa kwao HBO na AMC

Ni vizuri zaidi ungewapa pongezi direct HBO na AMC wenyewe maana wangekupa unlimited subscription offer trust me!!!, wasiliana na HBO humu support@hbomax.com, au wapigie+1-855-942-6669😂
Hivi wanaweza kunipa kweli?? Maaana sidhani kama huku kwetu huduma ya HBO max ipo kama Netflix
 
Nipende kuchukua nafasi hii kuzisifu na kuzipongeza chanel hizi mbili za television AMC na HBO kwa kutuletea vitu vizuri wapenzi wa series. Ukitaka series kali basi fuatili hizi Chanel mbili.
Series namba moja duniani inatoka HBO ambayo ni Game of Thrones, series namba mbili duniani inatoka AMC ambayo ni Breaking Bad

Orodha series maarufu kutoka HBO
  • Game of thrones
  • Rome
  • The sapranos
  • The wire
  • House of dragon
  • You name them....
Orodha ya series maarufu kutoka AMC
  • Breaking Bad
  • Better call saul
  • Orphan black
  • Into the badlands
  • The walking dead
  • You name them....
Pia nipende kutoa shukrani za dhati kwa Chanel za eTV (chanel namba 250 DSTV) kutoka south na MGM (metro goldwin mayer)[emoji28] hizi Chanel wahenga mtakua mnazijua unaweza ukakeshaView attachment 2040941View attachment 2040942View attachment 2040943View attachment 2040944
Hiyo AMC nilidhani unamaanisha ile African Movie Channel
 
Haijatoka ila najua tu lazima iwe kali majamaa hua hawakoseagi. Yaani naona April ni mbali
Kuna series walitengeneza ni mchepuo wa GOT lakini baada ya kuishoot wameicancel haitoruka japo wamechoka USD 30 milions
 
Tumia app ya Mobdro
Mobdro includes a huge list of channels with hundreds of different options from all over the world to be viewed for free straight on our Android smartphone or tablet, regardless of whether we’re talking about free channels or others that require a monthly or yearly subscription on cable or satellite TV. We have to bear in mind that the channels are taken from different sources and because it’s not all as legal as it should be, they might not always be completely available from the app, sometimes going on and off. In any case, the following list shows you some of those most popular channels available at present, with new ones added on a regular basis:

ABC.
CTV.
Destination America.
Food Network.
History Channel USA.
H2.
Bravo TV.
SyFy.
TNT USA.
AMC USA.
Spike TV.
A&E.
Disney Channel.
TBS.
Cartoon Network.
HBO.
HBO Family.
HBO Signature.
HBO Comedy.
HBO Zone.
PBS.
Hallmark.
National Geographic.
Travel Channel.
HiFi.
Comedy Central USA.
Boomerang.
Nickelodeon USA.
Lifetime USA.
Lifetime Movie Network.
Showtime USA.
Showtime 2 USA.
Cinemax

Sijui kama huduma ya Cable tv bado ipo tuliinjoi sana
King'amuzi kipi unapata hizi Chanel
 
Kuna series walitengeneza ni mchepuo wa GOT lakini baada ya kuishoot wameicancel haitoruka japo wamechoka USD 30 milions
Nadhani ndiyo hii House of the dragon.. inazungumzia vita iliyotokea miaka 300 nyuma kabla ya ile story ya GOT.. wamechukua kwenye kilekile kitabu walichotumia kwenye GOT..
 
Nadhani ndiyo hii House of the dragon.. inazungumzia vita iliyotokea miaka 300 nyuma kabla ya ile story ya GOT.. wamechukua kwenye kilekile kitabu walichotumia kwenye GOT..
Hapana siyo The house of dragons. House of dragons itaruka hii ilikuwa nyingine.
 
Hapana siyo The house of dragons. House of dragons itaruka hii ilikuwa nyingine.
Mkuu mi ni die hard fun wa GOT na muendelezo pekee wa GOT ninao ujua ni The House Of Dragon
Ni ipi tena nyingine iliokua canceled?
 
Mkuu mi ni die hard fun wa GOT na muendelezo pekee wa GOT ninao ujua ni The House Of Dragon
Ni ipi tena nyingine iliokua canceled?
Jina nimesahau ila ina The Night ... Walikuwa washatumia usd 30 mils lakini walipoitazama wakaona haijakaa sawa wakaitupa
 
Hakuna kitu kama hicho mkuu. Hakuna muendelezo wowote wa GOT au series yoyote ihusianayo na GoT iliyohusisha.
HOD pekee ndio iliyoandiliwa
 
Hakuna kitu kama hicho mkuu. Hakuna muendelezo wowote wa GOT au series yoyote ihusianayo na GoT iliyohusisha.
HOD pekee ndio iliyoandiliwa
Mkuu mimi ni mpenzi wa GOT kiasi kwamba nafuatilia kila detail kila character, composer, director, ma actor waliwapataje, yani ni fan wa GOT sana.
Soma hapa
IGN Deutschland › articles › ga...
HBO Canceled Game of Thrones Prequel Even After Spending $30m ...
 
Hivi siku hizi ile Channel O iliyokuwepo kwenye dstv na sasa hv haipo ipo kwenye king'amzi gani?
 
Back
Top Bottom