Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi wanaweza kunipa kweli?? Maaana sidhani kama huku kwetu huduma ya HBO max ipo kama NetflixNi vizuri zaidi ungewapa pongezi direct HBO na AMC wenyewe maana wangekupa unlimited subscription offer trust me!!!, wasiliana na HBO humu support@hbomax.com, au wapigie+1-855-942-6669😂
Songea ipo Cable TvSijui kama huduma ya Cable tv bado ipo tuliinjoi sana
King'amuzi kipi unapata hizi Chanel
Hahahah daah...wampe featuring na Wesley pipes
Hiyo AMC nilidhani unamaanisha ile African Movie ChannelNipende kuchukua nafasi hii kuzisifu na kuzipongeza chanel hizi mbili za television AMC na HBO kwa kutuletea vitu vizuri wapenzi wa series. Ukitaka series kali basi fuatili hizi Chanel mbili.
Series namba moja duniani inatoka HBO ambayo ni Game of Thrones, series namba mbili duniani inatoka AMC ambayo ni Breaking Bad
Orodha series maarufu kutoka HBO
Orodha ya series maarufu kutoka AMC
- Game of thrones
- Rome
- The sapranos
- The wire
- House of dragon
- You name them....
Pia nipende kutoa shukrani za dhati kwa Chanel za eTV (chanel namba 250 DSTV) kutoka south na MGM (metro goldwin mayer)[emoji28] hizi Chanel wahenga mtakua mnazijua unaweza ukakeshaView attachment 2040941View attachment 2040942View attachment 2040943View attachment 2040944
- Breaking Bad
- Better call saul
- Orphan black
- Into the badlands
- The walking dead
- You name them....
Kuna series walitengeneza ni mchepuo wa GOT lakini baada ya kuishoot wameicancel haitoruka japo wamechoka USD 30 milionsHaijatoka ila najua tu lazima iwe kali majamaa hua hawakoseagi. Yaani naona April ni mbali
🤣🤣🤣Imebidi nikagugo ndio nimejua hii ni Chanel gani asee
Sijui kama huduma ya Cable tv bado ipo tuliinjoi sana
King'amuzi kipi unapata hizi Chanel
Nadhani ndiyo hii House of the dragon.. inazungumzia vita iliyotokea miaka 300 nyuma kabla ya ile story ya GOT.. wamechukua kwenye kilekile kitabu walichotumia kwenye GOT..Kuna series walitengeneza ni mchepuo wa GOT lakini baada ya kuishoot wameicancel haitoruka japo wamechoka USD 30 milions
Hapana siyo The house of dragons. House of dragons itaruka hii ilikuwa nyingine.Nadhani ndiyo hii House of the dragon.. inazungumzia vita iliyotokea miaka 300 nyuma kabla ya ile story ya GOT.. wamechukua kwenye kilekile kitabu walichotumia kwenye GOT..
Mkuu mi ni die hard fun wa GOT na muendelezo pekee wa GOT ninao ujua ni The House Of DragonHapana siyo The house of dragons. House of dragons itaruka hii ilikuwa nyingine.
Hahahaah sequence and series form 3hamna ile ni sequence
Jina nimesahau ila ina The Night ... Walikuwa washatumia usd 30 mils lakini walipoitazama wakaona haijakaa sawa wakaitupaMkuu mi ni die hard fun wa GOT na muendelezo pekee wa GOT ninao ujua ni The House Of Dragon
Ni ipi tena nyingine iliokua canceled?
Jina nimesahau ila ina The Night ... Walikuwa washatumia usd 30 mils lakini walipoitazama wakaona haijakaa sawa wakaitupa
Hakuna kitu kama hicho mkuu. Hakuna muendelezo wowote wa GOT au series yoyote ihusianayo na GoT iliyohusisha.Mkuu mi ni die hard fun wa GOT na muendelezo pekee wa GOT ninao ujua ni The House Of Dragon
Ni ipi tena nyingine iliokua canceled?
Mkuu mimi ni mpenzi wa GOT kiasi kwamba nafuatilia kila detail kila character, composer, director, ma actor waliwapataje, yani ni fan wa GOT sana.Hakuna kitu kama hicho mkuu. Hakuna muendelezo wowote wa GOT au series yoyote ihusianayo na GoT iliyohusisha.
HOD pekee ndio iliyoandiliwa