nana_
JF-Expert Member
- May 17, 2021
- 675
- 1,516
we ushasikia serikali imechoka? Imesema wapi? Au wewe ndo msemaji wake?Waende sehemu ya hadhi yao, kutoichosha serikali kukusanya kodi kuwapa mikopo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
we ushasikia serikali imechoka? Imesema wapi? Au wewe ndo msemaji wake?Waende sehemu ya hadhi yao, kutoichosha serikali kukusanya kodi kuwapa mikopo
Ingekua inachukua wanaostahili tuu ,hata isingewakopesha bali ingewasomesha kama zamaniwe ushasikia serikali imechoka? Imesema wapi? Au wewe ndo msemaji wake?
wao wameona hao ndo wamestahili.Ingekua inachukua wanaostahili tuu ,hata isingewakopesha bali ingewasomesha kama zamani
Kwa namna ulivyokasirishwa ni lazima utakuwa kundi la walioresit pepa za form 4 au 5. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Acha roho mbaya ...boya wewe
Pepa likikutaa basi utaangukia D kama sio E ila sio F, kupata F maana yake hilo somo hukulielewa kabisa, kwahiyo hao watu inabidi waoende level ya chini kuanzia Diploma ili wapikwe vuzuri kisha wakienda chuo kikuu wanakua competentBinafsi nilipata E somo moja, na huenda ingekuwa mbaya nikaangukia huko kwenye F. Sema kingine matokeo ya mwisho huenda yasimaanishe uwezo wa mtu. Huenda ukafanya vizuri miaka yote ukiwa shuleni ukaja ukazingua kwenye mtihani, na dunia ikakujadili kwa kile ulichokionesha mwishoni. Sema yote kwa yote huwa kuna vitengo vyangu ambavyo navionea. Chuoni na hata kazini vimenipa credit sana. Na kama ni Masters nitaenda piga kuhusu vitu ninavyovipenda. Serikali kupitia TCU imeona hayo madaraja yanafaa ndio maana wameyaacha. Wewe mwenye madaraja makubwa labda utuchambulie kwa kina, tuandikie proposal:
- Nini kifanyike zaidi yasipatikane
- Maono yako kwa nini madaraja ya juu tu
- Hao wa madaraja mengine wapelekwe wapi
- Hiyo itasaidia nini
- n.k... wewe ni jembe utatuletea kitu cream
Ili iongeze wasomi uchwara wa EEEAjira hakuna wewe unalalamika watu kuwa na DDF ,hayawani wewe,badala ya kusema kwa kuwa hakuna ajira serikali iwasomeshe bure watoto wetu na ufaulu wa kumwezesha mtu kuwa chuo kikuu uwe EEE. Weee waleta mbambamba!!?
Mwenye AAA ameweka historia ametumia nafasi yake vizuri hajachezea fursa ni role model. Tusichanganye mambo tusichanganye mambo ya maisha na shule.Alafu unapata nini yakitokea hayo?
Roho mbaya inakusaidia nini?
Wewe uliyepata AAA huko form six una nini cha zaidi maishani?
Na utakuta akiumwa hapo anaulizia ni hospitali gani wanatibu vizuri( hao ma Dr sio wa F)Mwenye AAA ameweka historia ametumia nafasi yake vizuri hajachezea fursa ni role model. Tusichanganye mambo tusichanganye mambo ya maisha na shule.
EEE imekaa kama yai yani Egg 😂😂😂Ili iongeze wasomi uchwara wa EEE
Yaani wewe unashangaa D2 wakati awali ilikuwa E2? Hivi wewe umesoma mwaka gani hata usijuwe hilo? Kuna EE wapo makazini na ni mainjinia, Madaktari halafu unajifanya kushangaa leo?Nimeshangaa katika pitapita zangu nimeona cheti cha mtu cha Advance katika masomo 3 ya combination ana DDF, halafu yupo chuo kikuu anasoma degree.
Serikali ifute kigezo cha D mbili, ama katika hizo D mbili iwepo na sifa nyingine kwamba hupaswi kuwa na F kwenye somo lolote kati ya masomo matatu. Yani hata ikitokea AAF hupaswi kwenda chuo kikuu.
Ni aibu kati ya masomo matatu una F moja halafu upo chuo kikuu unasoma degree.
Kingine ni kuhusu wanaorudia mitihani form iv na vi, hawa nao kwasababu vitu walivyovisoma ndani ya muda uliopangwa wakafeli kwenye assesment, inabidi grade zao za alama ziwe juu kuliko freshers maana wao walishavisoma hivo vitu wakafeli ndani ya scale ya awali.
Nawasilisha.
Kigezo cha ufaulu mkubwa sio kipimo cha umahiri pekee. Kinachoangaliwa ni ujuzi ambao mwanafunzi au mwanachuo kaupata au ataupata kwa mujibu wa malengo ya mtaala.Sina
Vigezo vipandishwe ili chuo kikuu waende watu wenye umahiri mzuri na kipimo ni mitihani ya form 6 ili tusijaze wasomi wengi wa chuo kikuu ambao hawana umahiri kwa kupata F za form 6
Kupunguza kundi kubwa la watu chuo kikuu ambao hawakustahili kuwa hapo kwa uwezo wao, wapite diploma kwanza wakajitakase huko ndio wapande chuo kikuu ila nako huko GPA ya kupanda chuo ianzie 3.5
Sasa mtu kupata F kuna umahiri gani kapataKigezo cha ufaulu mkubwa sio kipimo cha umahiri pekee. Kinachoangaliwa ni ujuzi ambao mwanafunzi au mwanachuo kaupata au ataupata kwa mujibu wa malengo ya mtaala.