Sifa za kusajiriwa kama mwandishi wa habari hizi

Sifa za kusajiriwa kama mwandishi wa habari hizi

Magobe T

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2008
Posts
5,887
Reaction score
4,103
Wanajamvi, nimeona niweke hapa sifa zinazotakiwa ili mtu aweze kusajiriwa kama mwandishi wa habari kwa mujibu wa Section 19 ya Sheria ya Huduma za Vyombo vya Habari, 2016 na Kanuni zake za mwaka 2017 (Regulations 17, 18, & 19).

Wachangiaji wengi tumeingia kwenye mjadala bila kujua kwanza sheria inasemaje. Regulation 17 inahusu 'eligibility for accreditation'. Sub-Regulation (1) ya Regulation hii inasema hivi: "A person shall be eligible for accreditation as a professional journalist if that person is from the following cadres -
(a) editors, reporters, freelancers, correspondents, photographers, news producers and radio and television broadcasters working with media houses;
(b) foreign journalist;
(c) students pursuing media, mass communication, journalism or related field; or
(b) members of the public with outstanding service for the media profession."

The Media Services (Amendment) Regulations, 2024 (Government Notice No 99 published February 16, 2024) - amendment of Regulation 17, imeongeza Sub-Regulations (4) and (5). Sub-Regulation (4) inasema hivi:
"A person holding a certificate in journalism or such other related studies shall be recognised as Assistant Journalist."
Sub-Regulation (5) inasema hivi: " Assistant Journalists shall perform their role under the supervision of the senior journalist."

Nimeona tukijadili tukiwa na hii background information, tutafanya vizuri zaidi. Asanteni.
 
Sasa mbona regulatory inatambua cerficate kwamba mwenye certificate atakuwa ni assistant na ndivyo ilivyokuwa, kwani kulikuwa na wahariri wa kuhariri habari toka kwa hawa wa chini yao. Sasa inakuwaje diploma ndio itakiwe zaidi kuwa ndiyo sifa ya mwanzo wakati kuna wenye certificate nao wanastahili kupewa press card?
 
Nchi ya wajinga hii
Mbona hawasemi wabunge wawe na elimu japo ya degree moja?
 
embu tuwekee makosa yalifanya akina babalevo wasimamishwe kazi
 
  • Thanks
Reactions: K11
Back
Top Bottom