kethika
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 630
- 472
- Thread starter
- #301
Ila nimesikia wanawake wa kipare ukioa hasa kama wewe ni kabla tofauti huwezi chepuka maana mapishi wanajua halafu hawatakubali wewe kama mume wake uaibike kifedha kicheo n.kMpare mchoyo sana na mroho ki ukweli mpaka uwa nikishaona demu uyu mpare hamu inaisha
Then wanaume hali kadhalika ila ni wajanja wajanja hasa kwa mambo ya wanawake.
Ila sifa yao nimesikia kuwa kwa ujumla ni watu wa maendeleo wanapenda shule na ndio maana pamoja na uchache wao ila wameshika nyadhifa nyingi kwenye uongozi.
Mwenye kututhibitishia hili atusaidie pia.