sio mtu mzur
Member
- Nov 18, 2016
- 43
- 35
Mbona huu Uzi umekaa kichochez jaman" maana hlo kabila langu lilivyoandamwa kwenye huu Uzi nimegundua kwel sisi ni big empire
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakua mpare au mgogo weweMbona huu Uzi umekaa kichochez jaman" maana hlo kabila langu lilivyoandamwa kwenye huu Uzi nimegundua kwel sisi ni big empire
Kweli kabisa.Hapo kwenye ukarimu ni mtu na mtu, sio kila msukuma ni mkarimu ila mnajua kunyenyekea kama huna kitu na wanafika wa kutupwa, msukuma akikwambia ndio jua ana maana ya hapana. Yaani hamko straight kabisa
Utakuwa mmarangu wewewachaga(wamarangu) :wastaarabu sana, wengi ni wazuri na watanashati. watafutaji wazuri wa eleri(pesa). wanaheshima, wanapendana, hawana ubinafsi kama wapare. sio washirikina kama wasambaa, wapole, wanapenda kujenga kwao,wanawai kumiliki magar kwa umri mdogo. waaminifu kwenye mapenzi.
Sasa mwanza na musoma ni mbali? Usilete ukurya wako hapa farasiSasa kama wewe msukuma tangu lini ukawa na ujirani na sisi wakurya, acha bangi mtoto wa kike
[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]wahahe weusi na wenye mapenzi ya dhati kwa wote tatzo la mhehe usimkosee kwa kile anachokihitaji huchelewi kumkuta kajinyonga
Hahahaha nawaona nawaona
Ila sijaona mhehe hapo
JAMANI MIMI UZULI NIMETEMBEA KARIBIA TANZANIA NZIMAA ILA UKWELI NI KWAMBA.
KUNA MAKABILA YENYE ROHO NZULI NA YENYE ROHO MBAYAAA.
MAKABILA YENYE ROHO MBAYA WENYE ITIKADI YA UKABILA NA UDINI
NI WACHAGA, WANYAKYUSA, WAHA, WAPARE,WAKURYA, WAHAYA,WAJALUO, WASUKUMA, WANYAMWEZI, .
MAKABILA YENYE ROHO NZULI NA WASIO NA ITIKADI YA UDINI WALA UKABILA KUNA
WAZARAMO, WALUGULU, WAKWERE, WAMWERA, WANDEREKO, WAMAKUA WAMAKONDE,
Ni makabila pekee waweza oa bila kupanga mbwembwe za msafara wa magari.Kiukweli makabila ya pwani ni Watu wazuri saana tunapaswa kuwaheshimu
Ahaaaaa sisi kwetu sio musoma, kumbe unazungumzia wajita hapo nimekuelewaSasa mwanza na musoma ni mbali? Usilete ukurya wako hapa farasi
Naona Unafanya kila njia ili Kanda ya ziwa yote muonekane nyie mna tabia nzuri kuliko woteAcha chai asee labda sio wahaya
Ndugu zangu nimecopy maeneo fulani ila inatosha kusoma na kuelewa jinsi kabila langu lilivyo.Tangu tupate uhuru mwaka 1961 , mikoa ya Tanzania imeendelea kukua hatua kwa hatua. Mkoa wa Dares salaam ulikuwa mkoa wa kwanza kufikia hadhi ya kuwa jiji. Lakini nyuma ya mkoa wa Dar kuna uwekezaji mkubwa ulifanywa na serikali, mfano ujenzi wa wizara mbali mbali, ujenzi wa barabara za lami, ujenzi wa vyuo mbali mbali, ujenzi wa hospital kubwa etc.

Hali ni hiyo hiyo kwa majiji mengine yamekuja kufikia hadhi ya kuwa jiji baada ya sapoti kubwa sana ya serikali, angalia mfano jiji la Arusha imejengewa barabara, mahoteli makubwa, na kumbi mbali mbali za kimataifa na serikali.

Mkoa wa mwanza ulifikia hadhi ya kuwa jiji mwaka 2000 na kutangazwa rasmi kuwa jiji na rais wa awamu ya tatu William Mkapa.
Mpaka Mwanza inafikia hadhi ya kuwa jiji hamna la maana lolote serikali ilikuwa imefanya kuusaidia mkoa, mfano hamna vyuo vikubwa vya serikali, hakuna kumbi za kimataifa za serikali ,pia ni nadra kuona viongozi wa serikali wakifanya ziara na kuhamasisha shughuli za maendeleo mkoa wa mwanza.

Je pamoja na kutengwa kote huku kwa nini mwanza ilikuwa ya pili kuwa jiji na kimaendeleo na kuicha mikoa mingine ambayo imekuwa ikipendelewa tangu enzi za ukoloni??

Siri ni wakazi wake kufanya kazi kwa bidii na pia ni wakarimu sana .
Wageni kutoka nchi zingine na mikoa mingine hupokelewa na kuishi kwa amani kabisa bila kubaguliwa.
Kuna baadhi ya mikoa wenyeji wake ni wachoyo na wabinafsi kiasi kwamba mgeni akifungua biashara wanamfanyia vigisu mpaka afunge biashara yake.
Hali ni tofauti kabisa katika aridhi ya usukumani.
Hongereni sana Wasukuma na Mungu awabariki Sana.
Huwez amin....kama ww ulipoteza ukiwa na miaka 12 usishangae mwenzako akafkisha 25 akiwa nayo badoYA MCHNA HIYO WEWE SI KWA MRANGI MKUU!