Sifa za makabila mbalimbali hapa Tanzania

Sifa za makabila mbalimbali hapa Tanzania

WATANZANIA KARIBIA WOTE WANA ROHO MBAYAAAAA SIO WAPARE WALA WAHAYA WALA WAKURYA SIO WASUKUMA MIMI NAONA KARIBIA WOTE WANA ROHOO MBAYAAAAAAAAAAAA.

YAAANI ANGALAU KIDOGO WAZALAMOOOO
Wazalamooo -wazaramoo
 
hiyo ni sifa ya wamakonde, nilishawahi kukutana na dame mmoja wa kimakonde zile pigo ni classified..
Hahha
Sasa wamakonde wakiwa wazuri sekta hio ina maana wahehe hawawezi?!!
Japo najua wamakonde wapo njeymaaarrr
 
KWA KUONGEZEA ZAIDI WATU WA KIGOMA NI WAONGEAJI SANA,WABISHI NA WAPENDA SIFA ZA KIJINGA BILA KUSAHAU NI WAGOMBANISHI .

YAANI UKITAKA KUMJUA MTU WA KIGOMA UTAMJUA TUU HASWA MBELE YA HALAIKI YA WATUUU.

YAANI. YEYE UNAMKUTA NDIO ANAPENDA KUONEKANA NI MZUNGUMZAJI KULIKO WOTE ANAPENDA KUONEKANA ANACHOONGEA YEYE NI POINT ILA WAKIONGEA WENGINE ANAWA CRUSH AU ANABISHA
Nawajuaa vizuri mnooo...
Ila tu wanajua kumhudumia mwanamke jamnnnn...
Ila midomo ilee..mxxiiiew walau umkute aloenda shule anakua mstaarab kidgo
 
JAMANI MIMI UZULI NIMETEMBEA KARIBIA TANZANIA NZIMAA ILA UKWELI NI KWAMBA.

KUNA MAKABILA YENYE ROHO NZULI NA YENYE ROHO MBAYAAA.

MAKABILA YENYE ROHO MBAYA WENYE ITIKADI YA UKABILA NA UDINI
NI WACHAGA, WANYAKYUSA, WAHA, WAPARE,WAKURYA, WAHAYA,WAJALUO, WASUKUMA, WANYAMWEZI, .

MAKABILA YENYE ROHO NZULI NA WASIO NA ITIKADI YA UDINI WALA UKABILA KUNA

WAZARAMO, WALUGULU, WAKWERE, WAMWERA, WANDEREKO, WAMAKUA WAMAKONDE,
Kiukweli wee ndio umesema kweli kabisa Japo kua mimi ni mkurya, ila kiukweli hujakosea
 
MIMI UZULI NIMEZALIWA DAR NIMEKULIA DAR WAZARAMO NIMEKAA NAO SANA NAWAELEWA. VIZULI NI WATU POA SANA HAWANA UKABILA WALA UDINI.

NDIO MAANA WABUNGE WA DAR UKIANGALIAA ......

1.MNYIKA NI MPARE

2.HALIMA. MDEE NI MPARE

3.ZUNGU NI MZUNGU

4.MWITA WAITARA NI MKURYA

5.BONNA KALUWA NI MUHAYA

6.FAUSTINE NDUGULILE NI MNGONI

7.MEYA WA JIJI NI MKURYA

HIVI INGEKUWA WAZARAMO WANA CHONGA SANA IVI UNADHANI WAGENI WANGEWEZA PATA NAFASI KAMA HIZI
Kiukweli makabila ya pwani ni Watu wazuri saana tunapaswa kuwaheshimu
 
Kwakweli ukarimu tumejaaliwa
Hapo kwenye ukarimu ni mtu na mtu, sio kila msukuma ni mkarimu ila mnajua kunyenyekea kama huna kitu na wanafika wa kutupwa, msukuma akikwambia ndio jua ana maana ya hapana. Yaani hamko straight kabisa
 
Back
Top Bottom