Sifa za makabila mbalimbali hapa Tanzania

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Evelyn Salt karibu kwa wapare ukipata mgegedo mujarab tu bhaaaas mengine yote yanavumilika
Walivo wachoyo nahisi hata dushe wanatoa kichoyo choyo
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] miili ya kuchezea mieleka
 
[emoji2] [emoji2]
 
Sijaona wabena,wakinga,wangoni ,wandendeule...wapangwa....
 
Baada ya kuona wapare wanashambuliwa kwa uchoyo ukabila n.k nikaamua kufanya research.
 
Kwa wastani tabia za Wapogolo zinafanana na tabia za Wazaramo Kwa kiasi kikubwa! Mathalani kwenye kuongea mahodari , kupenda kwenda ngoma, ukarimu wa kugawa chini, nyongeza ni kuwa Wapogolo Kwa kupenda kula ubwabwa ni mahodari hata wakiwa Wazee! Mwanaume wa Kipogoro upike wali halafu usimwekee matandu/ukoko lazima atakutia ila! Upande Wa Wahehe hawa kwa wastani tabia zao zinafanana Na tabia za Wapare! Ni Watu wa kupenda kujipendekeza Kwa watu akijua atamfaa, chuki, fitna, wivu, Ushirikina, kuwa Mtu wa kusitasita! Wakati mwingine anachosema mdomoni sicho anachoamini Moyoni mwake! Pia Waha wanafanana kitabia na Wapemba Kwa kupenda kuzaliana kupita kiasi na Ushirikina! Kuwa makini na Mke wa Mpemba, kuwa makini kufanya biashara na Mpemba inayohusiana na shamba au Nyumba ! Natanguliza samahani Kwa nitakaye mkwaza!
 
Hahaha
Hahahaa aaaah
Hahaha...dah...ila wewe mwanamke akili yako huwa unaijua tu mwenyewe dadeki, lohhh!
 
Kuna kabila hili maarufu sana lkn huwa halizungumzwi wanaitwa WAPOGORO wanatokea Morogoro..

Mimi kitu kimoja wanachonifurahisha hawa jamaa ni wacheshi halafu wana utani sana, hawanaga stress, hebu niambie ww unawajuaje hawa jamaa maana kuna vitu vingi naskia wanavyo.

Hata jina Kariakoo naskia walianzisha wao wakimaanisha "amekula wapi"?
 
Wapare watu poa sana ni wachumi wazuri na wanapenda haki
Huwajui wapare, ni moja ya kabila lenye wahuni wa kupindukia, na ushirikina, wanaanza michezo michafu wakiwa wadogo sana.Wachoyo na wabinafsi. Ukikuta mpare asiye mhuni au asiye na roho ya umaskini ni nadra sana
 
Ukiwa mjinga ndio mtu poa? Hata wazaramo wakiamua kugoma nani atawasikia, wapo wangapi? Wana status gani?

Kikwete akiwa madarakani alikua anawafunda kila leo, anawaambia msiuze ardhi, somesheni watoto wenu lakini wapi, laana ikikuandama ni shida kutoka hapo! Unakua duni!
Wazaramo ni wakuonewa huruma na siyo kusifiwa
 
Wapare ni wabahili pia wana roho mbaya, kuna siku nlikutana na mdada kwenye bus, akawa ananipa story ya shoga ake anamfanyia visa, anafanya mambo kwa binafsi n.k n.k nikamuuliza rafiki ako ni mpare? Akajibu ndio... Nilicheka, Wapare wana roho mbaya
Yani umenena wewe unawajua, ktk watu wenye roho mbaya, yakimaskini na wakorofi hawa ni mojawapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…