Deogratius M
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 244
- 118
Sijawai kuona mwanamke wa kihehe au kinyakyusa aliye mzuri wa suraWahehe ni waaminifu sana. Tatizo lao roho mbaya na chuki kali. Ni wasiri sana hata akiua hasemi bora afe.wanaume wao acha ndio manunda sana akili ziro. Hawezi kulea mtoto wa mke. Atamuua lazima.
Kuna kabila hili maarufu sana lkn huwa halizungumzwi wanaitwa WAPOGORO wanatokea Morogoro..
Mimi kitu kimoja wanachonifurahisha hawa jamaa ni wacheshi halafu wana utani sana, hawanaga stress, hebu niambie ww unawajuaje hawa jamaa maana kuna vitu vingi naskia wanavyo.
Hata jina Kariakoo naskia walianzisha wao wakimaanisha "amekula wapi"?
Una utani na Wamatengo
Acha uongoMdigo ni mzigo mkuu uliza uambiwe hao ndio walioleta falsafa ya figa moja halieleki chungu lazma yawe matatu... Na ule wa dumu halitoshi ukienda kisiman shart ubebe na kidumu cha wakat wa emergency...
Hii yote yanalengo la kuhalalisha michepuko na hii huwa ni kwa wanawake zaid
Oyeeee!Wanyakyusa oyeeee [emoji4][emoji4][emoji4]
Daaah!Ila wanawake wa kinyakyusa kweli wababe. Halafu wanajifanyaga wanajua kila kitu. Ningekua mwanaume nisingeoa mnyakyusa.
Mmmh kutakua na kaukweli hapo!!! Wanyakyusa tunajifanya wajuaji???Wanyakyusa wengi sauti zao huwa hazina mpangilio kama ni mwanamke huwa na bass kama mwanaume halafu wanajifanya wanajua kila kitu
Ila wanawake wa kinyakyusa kweli wababe. Halafu wanajifanyaga wanajua kila kitu. Ningekua mwanaume nisingeoa mnyakyusa.
HahhahahaaaahUkikataliwa na mwanamke wa ki-mbulu hata kama kaolewa inakupasa uende ukaombewe na gwajima.
Teh teh teh tehOyeeee!
Duh naamini wapare ni watu maarufu sana maana naona kila mtu anawafahamu ingawaje ni kabila dogo sana miongoni mwa makabila hapa bongo.Huwajui wapare, ni moja ya kabila lenye wahuni wa kupindukia, na ushirikina, wanaanza michezo michafu wakiwa wadogo sana.Wachoyo na wabinafsi. Ukikuta mpare asiye mhuni au asiye na roho ya umaskini ni nadra sana
Walugulu wanaongea jamani, ukikaa na mlugulu ndani huitaji radio, yeye atoshaNaombeni sifa za warugulu
We unajifanya unajua lakin hujui lolote.Hata ukiendesha sensa humu jf utapata matokeo kuwa hakuna kabila linaongoza Tanzania kwa kuwa na roho nzuri na ukarimu kama wasukuma.Huwezi kwenda kwa msukuma ukaondoka hajakukirimu katika kiwango cha hali ya juu,hii ni kwasbb wasukuma ni wachapakazi sana na hakunaga njaa usukumani.Ni wapole na wenye tabia nzuri.Hii pia ipo kwa wanyamwezi,maana kiasili msukuma ni mnyamwezi,its a matter nini kilitangulia kati ya yai na kuku.Hata wachaga hawana roho mbaya..its just that they want everybody to be independent and successful,Ukiniambia mi niishi na kabila gani,nitakuambia mchaga,kwasababu hana wivu na anataka wote muendelee. Japo siku hizi wameanza ukabila. Wapare ni watu wazuri tu, japo Wana kauchoyo na ubahili. Lakin ni watu wanaopenda maendeleo na haki. Kwa mpare haki haipotei. Mi nadhani mazingira siku zote Yana mshape mtu kitabia popote. Kuhusu ushirikina ni universal kwa makabila ya Tanzania, japo wengine wanawazidi wengine kwa mitambo yao kuwa mikali, kama wafipa, wasukuma/wanyamwezi, wapare, waha, wakinga na wambulu.WATANZANIA KARIBIA WOTE WANA ROHO MBAYAAAAA SIO WAPARE WALA WAHAYA WALA WAKURYA SIO WASUKUMA MIMI NAONA KARIBIA WOTE WANA ROHOO MBAYAAAAAAAAAAAA.
YAAANI ANGALAU KIDOGO WAZALAMOOOO