Sifa za makabila mbalimbali hapa Tanzania

Sifa za makabila mbalimbali hapa Tanzania

Wahehe ni waaminifu sana. Tatizo lao roho mbaya na chuki kali. Ni wasiri sana hata akiua hasemi bora afe.wanaume wao acha ndio manunda sana akili ziro. Hawezi kulea mtoto wa mke. Atamuua lazima.
Sijawai kuona mwanamke wa kihehe au kinyakyusa aliye mzuri wa sura
 
1.my tribe
Kuna kabila hili maarufu sana lkn huwa halizungumzwi wanaitwa WAPOGORO wanatokea Morogoro..

Mimi kitu kimoja wanachonifurahisha hawa jamaa ni wacheshi halafu wana utani sana, hawanaga stress, hebu niambie ww unawajuaje hawa jamaa maana kuna vitu vingi naskia wanavyo.

Hata jina Kariakoo naskia walianzisha wao wakimaanisha "amekula wapi"?
 
Huu uzi ni wa kisenge..sasa kila mmoja ananadi kabila lake, Alfu mnaanza kuponda makabila ya wengne. Ila mimi ni msukuma.
 
Mimi mngenichambulie wamachame na wamarangu maana huko nilisha nasa mademu nataka nichague yupi wa kuoa.
 
wakurya Wastaarabu sana hawa Jamaa ila ukimwaga mboga Wanamwaga Ugali..
Issue ya makabila inaathiriwa sana na Mazingira, hivyo hamna kigezo cha moja kwa moja kwamba kabila hili wako hv piga UwA,ila ni issue ya Makuzi tu..
UkimuanDaa mtu vibaya usitegemee matokeo Mazuri n viceversa
 
Tusiwasahau wangoni na wamatengo kwa wanaume mtume akupelekee mahali hela sio kumwelekeza njia binti na wanawake akiombwa anatoa.
 
Mdigo ni mzigo mkuu uliza uambiwe hao ndio walioleta falsafa ya figa moja halieleki chungu lazma yawe matatu... Na ule wa dumu halitoshi ukienda kisiman shart ubebe na kidumu cha wakat wa emergency...
Hii yote yanalengo la kuhalalisha michepuko na hii huwa ni kwa wanawake zaid
Acha uongo
 
Mkuu hakuna uongo maana hata makazini washikaji na wabrazil balaa!
 
Wanyakyusa wengi sauti zao huwa hazina mpangilio kama ni mwanamke huwa na bass kama mwanaume halafu wanajifanya wanajua kila kitu
Mmmh kutakua na kaukweli hapo!!! Wanyakyusa tunajifanya wajuaji???
Ila wanawake wa kinyakyusa kweli wababe. Halafu wanajifanyaga wanajua kila kitu. Ningekua mwanaume nisingeoa mnyakyusa.
 
Huwajui wapare, ni moja ya kabila lenye wahuni wa kupindukia, na ushirikina, wanaanza michezo michafu wakiwa wadogo sana.Wachoyo na wabinafsi. Ukikuta mpare asiye mhuni au asiye na roho ya umaskini ni nadra sana
Duh naamini wapare ni watu maarufu sana maana naona kila mtu anawafahamu ingawaje ni kabila dogo sana miongoni mwa makabila hapa bongo.
 
WATANZANIA KARIBIA WOTE WANA ROHO MBAYAAAAA SIO WAPARE WALA WAHAYA WALA WAKURYA SIO WASUKUMA MIMI NAONA KARIBIA WOTE WANA ROHOO MBAYAAAAAAAAAAAA.

YAAANI ANGALAU KIDOGO WAZALAMOOOO
We unajifanya unajua lakin hujui lolote.Hata ukiendesha sensa humu jf utapata matokeo kuwa hakuna kabila linaongoza Tanzania kwa kuwa na roho nzuri na ukarimu kama wasukuma.Huwezi kwenda kwa msukuma ukaondoka hajakukirimu katika kiwango cha hali ya juu,hii ni kwasbb wasukuma ni wachapakazi sana na hakunaga njaa usukumani.Ni wapole na wenye tabia nzuri.Hii pia ipo kwa wanyamwezi,maana kiasili msukuma ni mnyamwezi,its a matter nini kilitangulia kati ya yai na kuku.Hata wachaga hawana roho mbaya..its just that they want everybody to be independent and successful,Ukiniambia mi niishi na kabila gani,nitakuambia mchaga,kwasababu hana wivu na anataka wote muendelee. Japo siku hizi wameanza ukabila. Wapare ni watu wazuri tu, japo Wana kauchoyo na ubahili. Lakin ni watu wanaopenda maendeleo na haki. Kwa mpare haki haipotei. Mi nadhani mazingira siku zote Yana mshape mtu kitabia popote. Kuhusu ushirikina ni universal kwa makabila ya Tanzania, japo wengine wanawazidi wengine kwa mitambo yao kuwa mikali, kama wafipa, wasukuma/wanyamwezi, wapare, waha, wakinga na wambulu.
 
Back
Top Bottom