Sifa za makabila mbalimbali hapa Tanzania

Uzuli ni uzuri
Vizuli ni vizuri
Kwa hisani ya Faiza
 

Upo sahii c programming Lakini wanajua kusema Au ndio kuzaliwa mjini Wakija na kigoma cha ulugwai wakuchambe utakomaaa. Ila Ukabila udini Wapo Vizur kabisa.
 
Wapare ni wabahili pia wana roho mbaya, kuna siku nlikutana na mdada kwenye bus, akawa ananipa story ya shoga ake anamfanyia visa, anafanya mambo kwa binafsi n.k n.k nikamuuliza rafiki ako ni mpare? Akajibu ndio... Nilicheka, Wapare wana roho mbaya
WATANZANIA KARIBIA WOTE WANA ROHO MBAYAAAAA SIO WAPARE WALA WAHAYA WALA WAKURYA SIO WASUKUMA MIMI NAONA KARIBIA WOTE WANA ROHOO MBAYAAAAAAAAAAAA.

YAAANI ANGALAU KIDOGO WAZALAMOOOO
 
Kuna wale ndugu zetu wahaya,yaan wanapenda sifa sana,ukimsifia tu mmepatana ila kwa ngono hawajambo
 
Kugongana ndugu kwa ndugu unamaanisha nini? Ndugu tumbo moja au binamu?
 
WATANZANIA KARIBIA WOTE WANA ROHO MBAYAAAAA SIO WAPARE WALA WAHAYA WALA WAKURYA SIO WASUKUMA MIMI NAONA KARIBIA WOTE WANA ROHOO MBAYAAAAAAAAAAAA.

YAAANI ANGALAU KIDOGO WAZALAMOOOO
Ha Ha Ha unapigia chapuo wazaramo umeoa huko au we mzaramo...
Nashangaa hata unaposema sio waongeaji katika watu waongeaji wazaramo wanaweza kuwa wa kwanza
 
Makabila ya pwani: wengi wao wanawake wanajua kupika, kujipodoa yani mwanamke wa pwani mguu una vumbi ila uso reception ng'ari ng'ari poda wanja wa kutosha lipstick.
Wanaume wavivu wengi wao hakuna kujishughulisha ye akiamka ni kunywa kahawa na kucheza bao kamaliza kuolewa na mwanaume wa hivi ni hasara
 
Sio tu binamu mtoto wa baba mdogo, mtoto wa dada, shemeji yani analiwa yoyote tu
Evelyn unatuuzia chai.
Yani mtu amle mtoto wa dada...
Una mifano hai?
Au ni stori tu za huko boarding school? Si ulisoma
 
Reactions: dtj
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…