Sifa za makabila mbalimbali hapa Tanzania

Sifa za makabila mbalimbali hapa Tanzania

Nyie kwenu kule Bulongwaa sijui kipagalo kubayaaaa sana tu nisiwAfiche eti kama unataka kula nyama hadi jmosi kinyume na hapo ni mboga za majani na maharagwe wachekini wenzenu busokelo wapo vizuri
 
wachaga(wamarangu) :wastaarabu sana, wengi ni wazuri na watanashati. watafutaji wazuri wa eleri(pesa). wanaheshima, wanapendana, hawana ubinafsi kama wapare. sio washirikina kama wasambaa, wapole, wanapenda kujenga kwao,wanawai kumiliki magar kwa umri mdogo. waaminifu kwenye mapenzi.
Asante ila sio wote bana wamarangu wanaringa balaa kumsaidia ndugu mpaka ajishauri mara mbili mbili big up kwa warombo wote wana umoja na wakiamua kusaidiana mpaka raha ila kwa ushirikina hawa jamaa wanafukuzana na wakinga
 
Wasafwa wana roho mbaya sana (wake kwa waume) wanapenda kupokea tu sio watoaji na shukrani kwao ni kitu kigeni sana.
Ukioa Msafwa hakuna mahaba ubabe ubabe tu
 
Wamachame wanawake wanataka kukupanda kichwani wenyewe ndio wawe baba kwenye family
 
Back
Top Bottom