Sifa za makabila mbalimbali hapa Tanzania

Sifa za makabila mbalimbali hapa Tanzania

MIMI UZULI NIMEZALIWA DAR NIMEKULIA DAR WAZARAMO NIMEKAA NAO SANA NAWAELEWA. VIZULI NI WATU POA SANA HAWANA UKABILA WALA UDINI.

NDIO MAANA WABUNGE WA DAR UKIANGALIAA ......

1.MNYIKA NI MPARE

2.HALIMA. MDEE NI MPARE

3.ZUNGU NI MZUNGU

4.MWITA WAITARA NI MKURYA

5.BONNA KALUWA NI MUHAYA

6.FAUSTINE NDUGULILE NI MNGONI

7.MEYA WA JIJI NI MKURYA

HIVI INGEKUWA WAZARAMO WANA CHONGA SANA IVI UNADHANI WAGENI WANGEWEZA PATA NAFASI KAMA HIZI
Uliowataja sio machifu wa Kizaramo
 
Makabila ya kusini yale yote ni wakarimu na wapole.. hawabaguani hata kidogo.. hufurahi muda wote na hao ndio huchangamsha jiji la Dar..
 
Wapare ni wabahili pia wana roho mbaya, kuna siku nlikutana na mdada kwenye bus, akawa ananipa story ya shoga ake anamfanyia visa, anafanya mambo kwa binafsi n.k n.k nikamuuliza rafiki ako ni mpare? Akajibu ndio... Nilicheka, Wapare wana roho mbaya
big up Evelyn Salt umeutendea haki huu uzi. inasemekana asilimia kubwa ya wapare wanaume kwa wanawake utulivu kwenye mahusiano ni sifuri, hili lina ukweli?
 
Wagogo- ni wakarimu sana, wapole, wachapa kazi, hawapendi makuu, ni wazalendo karibuni Dodoma.

Kwa sasa nipo kijijini Chilonwa.
 
Salt.wakurya watu poa sana.ukorofi hufanyiana wao kwa wao .wana heshimu sana wageni maana na wakalimu alafu sio wanafiki kabisa akichukia ana kuambia papohapo sio wengine mpaka akunafikie kwa watu.maswala ya miziziology (uchawi) hawajui kabisa ndio swala la kuwaogopa watu wasio wajua wakiofia kulogwa
Ila wasukuma swala la ukarimu lime gawanyika sehemu moja na nyingine
Wasukuma wa bariadi wanadharau sana wabishi hatari.
Wasukuma wa magu wachawi balaaa
Wa mwanza mjini hawa ni wasela wasela tu.
Wa misungwi hawa ni wanafiki balaaa na roho mbaya
Kwimba-ngudu hawa ni washamba balaaa kuna wengine mpaka Leo kiswahili hawajui
Shinyanga na kahama hawa ni wapole wa kalimu na miziziology wako vizuri
Meatu hawa bado ni primitive kabisa tabia ni kama nusu wasukuma nusu wamasai hata uvaaji.
Bashite kweli anawakilisha wa Misungwi, kwa kina Bashite ni kijiji cha Kolomije.
 
Haya ndio Makabila 125 ya TANZANIA

Hii ni orodha ya makabila ya watu ambao wamekuwa wanaishi tangu zamani katika eneo ambalo sasa linaitwa Tanzania, pamoja na makabila yaliyogawiwa na mipaka baina ya Tanzania na nchi za jirani.

Waalagwa, (Wasi)
Waakiek,Waarusha,Waassa,Wabarabaig ( Wamang'ati)
Wabembe,Wabena,WabendeWabondei,Wabungu (Wawungu),Waburunge,Wachagga,Wadatoga,Wadhaiso,WadigoWadoe,Wafipa,Wagogo,Wagorowa (Wafiome)
Wagweno,Waha,Wahadzabe (Wahadza) na Watindiga,Wahangaza,WahayaWahehe,Waikizu,Waikoma, Wairaqw( Wambulu),
Waisanzu,Wajiji,Wajita,Wakabwa,Wakaguru,Wakahe,Wakami,Wakara(Waregi)Wakerewe,
Wakimbu,Wakinga,Wakisankasa,Wakisi,Wakonongo Wakuria,Wakutu,Wakw'adza,WakwaviWakwaya,Wakwere ( Wanghwele)Wakwifa,
Walambya,Waluguru,Waluo,Wamaasai,WamachingaWamagoma,Wamakonde,Wamakua (Wamakhuwa) Wamakwe ( Wamaraba) Wamalila,Wamambwe,Wamanda Wamatengo,Wamatumbi,
Wamaviha Wambugwe,Wambunga,WamosiroWampoto,Wamwanga,Wamwera Wandali,Wandamba,Wandendeule,Wandengereko,Wandonde,Wangasa,Wangindo,Wangoni, Wangulu,Wangurimi ( Wangoreme),Wanilamba,(Wanyiramba)
Wanindi,Wanyakyusa, Wanyambo,Wanyamwanga, Wanyamwezi,
Wanyanyembe,Wanyaturu ( Warimi) Wanyiha,Wapangwa,Wapare ( Wasu),Wapimbwe,Wapogolo,Warangi (Walangi) Warufiji,Warungi,Warungu (Walungu),Warungwa,Warwa, Wasafwa,Wasagara,Wasandawe,Wasangu,Wasegeju, Washambaa, Washubi Wasizaki,Wasuba,Wasukuma Wasumbwa,Waswahili,Watemi Wasonjo,Watongwe,Watubuka,Wavidunda,Wavinza,Wawanda,Wawanji,Waware,Wayao,Wazanaki,WazaramoWazigula Wazinza, Wazyoba.

Je, kabila gani halija tajwa hapo ?
 
Huo uchapakazi wameanza lini??? Wagogo ni wavivu wa kutupa si wanaume si wanawake ni wavivu mnooo
Akutukanaye hakuchagulii tusi.

Wagogo ni wachapa kazi sana hasa kilimo na ufugaji. Changamoto tuliyonayo ni uhaba wa mvua mara kadhaa. Tunaomba serikali iongeze fungu kwa ajili ya kilimo cha umwagiliaji.
 
Back
Top Bottom