goggles
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,415
- 2,358
Nimeishi na wakurya mda mrefu sana. Kwa asili yao hawapendi kuonewa wala kuonea mtu. Wanapenda sana haki. Siyo waongo na hawamfichi mnafiki hata ukiwa boss wake.Hahahaha wakurya mbona wako poa sana, nina mabest zangu sema zile command language zao zinakasirisha.
Ukimkosea akasema ''ngoja nije'' haki ya nani anakuja na silaha na lazima akudhuru. Haogopi mtu akijua yuko kwenye haki. Hata kama ni mwenye madaraka makubwa au ni mwenye pesa nyingi.