proton pump
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 6,814
- 10,104
Acha unafikiHuu uzi ni wa kisenge..sasa kila mmoja ananadi kabila lake, Alfu mnaanza kuponda makabila ya wengne. Ila mimi ni msukuma.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha unafikiHuu uzi ni wa kisenge..sasa kila mmoja ananadi kabila lake, Alfu mnaanza kuponda makabila ya wengne. Ila mimi ni msukuma.
Evelyn umeniua mbavu aseee.....eti ninunulie pepsi😀😀😀😀😀
Hiyo kazi wanaweza vizuri sana
Kuna mdada mmoja huwa anatembea na cheti cha hospital, anaomba elf moja ukimwambia sina anakuambia basi ninunulie pepsi ya baridi huku amekunja sura yani yupo serious
Yaelekea una muda mrefu hujarudi usukumani.We unajifanya unajua lakin hujui lolote.Hata ukiendesha sensa humu jf utapata matokeo kuwa hakuna kabila linaongoza Tanzania kwa kuwa na roho nzuri na ukarimu kama wasukuma.Huwezi kwenda kwa msukuma ukaondoka hajakukirimu katika kiwango cha hali ya juu,hii ni kwasbb wasukuma ni wachapakazi sana na hakunaga njaa usukumani.Ni wapole na wenye tabia nzuri.Hii pia ipo kwa wanyamwezi,maana kiasili msukuma ni mnyamwezi,its a matter nini kilitangulia kati ya yai na kuku.Hata wachaga hawana roho mbaya..its just that they want everybody to be independent and successfulUkiniambia mi niishi na kabila gani,nitakuambia mchaga,kwasababu hana wivu na anataka wote muendelee
Huu uzi ni wa kisenge..sasa kila mmoja ananadi kabila lake, Alfu mnaanza kuponda makabila ya wengne. Ila mimi ni msukuma.
1.my tribe
[emoji24] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji24]Huu uzi ni wa kisenge..sasa kila mmoja ananadi kabila lake, Alfu mnaanza kuponda makabila ya wengne. Ila mimi ni msukuma.
Hehe huwa hujui, si unaona tu anavoandika kwa kujiaminiHahahaha bila shaka wewe ni mjita.
Wanatafunika tena hata bila chumvi. Wale sio kabisa, ushahidi niliuona mie! [emoji23] [emoji23] [emoji23]Evelyn unatuuzia chai.
Yani mtu amle mtoto wa dada...
Una mifano hai?
Au ni stori tu za huko boarding school? Si ulisoma
una mfano hai?au na ww uliambiwa na rafiki zakoWanatafunika tena hata bila chumvi. Wale sio kabisa, ushahidi niliuona mie! [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hi, Kwanini useme *kasoro muhaya, mkurya. Mrangi na muha?Lolote except muhaya, mkurya, mrangi na muha
Rafiki naona umefukua kaburi tehHi, Kwanini useme *kasoro muhaya, mkurya. Mrangi na muha?
Point lessMIMI UZULI WANGU NIMESHAKUWA NA MAHUSIANO NA WADADA KIPARE KAMA WANNE HIVI KATIKA MAPENZI.
UKWELI NI KWAMBA NA WADADA WENGI WA KIPARE NI WAVUMILIVU SANA NA WANA HESHIMU SANA WANAUME .....
NA HII INATOKANA WADADA WENGI WA KIPARE NI WASABATO NA WAISILAMU.
UKWELI NI KWAMBA MTU ALIYEKULIA KATIKA DINI YA SABATO AU UISILAMU HUWA NI MVUMILIVU KWAIYO MKUU HAYO YOTE UNAYAONA HAPO NI SABABU YA SABATO NA UISILAMU IMEJENGA
Ndio sikuwepo siku ya mazishiRafiki naona umefukua kaburi teh
We kethika, Ni kabila lipi linaloongoza kuua waume zao ili warithi Mali?Rafiki naona umefukua kaburi teh
weweee!Wanyakyusa: wanawake wana miili ya kuchezea mieleka wanene wamepanda hewani, ni wakarimu kwakweli ila kwa ubabe pia mmmh
Waha: wengi wao wafupi, wana bidii sana ya kazi, wengi wao waaminifu sana, ila kwa ubishi jamani mweh muha anaweza kuwa wa kwanza duniani kwa ubishi, na kwenye ushirikina wapo vizuri
Wapare: wengi wao wafupi, wazuri wa sura ila wapare wana roho mbaya mi binafsi Sijawahi kukutana na mpare mwenye roho nzuri.
Wakurya: hawa jirani zangu mi mwenyewe huwa nawaogopa sana, ni wakatili mno, mkurya akikuambia nitakuchinja hata kama ni utani ndugu yangu kimbia speed kali hadi miguu iguse kichwa
why
Ubarikiwewachaga(wamarangu) :wastaarabu sana, wengi ni wazuri na watanashati. watafutaji wazuri wa eleri(pesa). wanaheshima, wanapendana, hawana ubinafsi kama wapare. sio washirikina kama wasambaa, wapole, wanapenda kujenga kwao,wanawai kumiliki magar kwa umri mdogo. waaminifu kwenye mapenzi.