Sifa za Mashangazi Original

Sifa za Mashangazi Original

1. Awe na kwake (private),
2. Awe na ndinga (Harrier au hata Alphard si mbaya), akuachie uwe dereva wa hiyo gari kupiga nayo misele baada ya kumshusha kazini kwake.
3. Awe na wezere,
4. Awe single Mother,

NB: epuka mashangazi ya mchongo, full mizinga!
Umeongea akili ya Kipumbavu kweli, sijui una miaka 17 nadhani, watu tunawaza namna ya kukuza uchumi ili tuwalee watoto na hao shangazi zako we unawaza kukulewa na shangazi single mother... Shenzi kabisa
 
Yaani Kila nikiwaza 5-10 yrs tutakuwa na wanaume wa aina Gani nakosa jibu
Maana ndo akili za hivi jmn
 
Back
Top Bottom