Sifa za Mashangazi Original

Sifa za Mashangazi Original

Wizo wangu mimi mwenye msambwanda wake 🤣🤣🤣
Hivi wizo mimba yetu ina miezi mingapi now?
miezi saba now 🤗🤗🤗 soon naitwa mama jamanii awwwwh 🥰🥰🥰

Sema wizo nae kwa kupotea! Kwanza uliendaga wapiii nikakumiss adi bas 🥰🥰🥰🥰

Kila nikikumiss nahis kababy boy kangu kanacheza tumbonii, katakuwa kakorofi kama baba akee 🥰
 
Back
Top Bottom