Sifa za Mashangazi Original

Sifa za Mashangazi Original

miezi saba now 🤗🤗🤗 soon naitwa mama jamanii awwwwh 🥰🥰🥰

Sema wizo nae kwa kupotea! Kwanza uliendaga wapiii nikakumiss adi bas 🥰🥰🥰🥰

Kila nikikumiss nahis kababy boy kangu kanacheza tumbonii, katakuwa kakorofi kama baba akee 🥰
Awwww 🥰🥰🥰 muanti wangu mshwiti shwiti soon unakuja!!!
Atakuwa hanshamu km baba ake, full ushombe ushombe 😍

Anakosaje kuruka ruka aunt yake nikimissiwa na mama ake kwa mfano.? Aje tumtoe na tarumbeta 🤣🤣🤣
cocastic umesikia wizo anatuletea aunt, tujiandae kuitwa mashangazi 😂
 
miezi saba now 🤗🤗🤗 soon naitwa mama jamanii awwwwh 🥰🥰🥰

Sema wizo nae kwa kupotea! Kwanza uliendaga wapiii nikakumiss adi bas 🥰🥰🥰🥰

Kila nikikumiss nahis kababy boy kangu kanacheza tumbonii, katakuwa kakorofi kama baba akee 🥰
Juzi si uli sema we ni dume, sasa huyo mtoto vipi 🙄😁
 
Anahela shosti eh maana sijaamua kiundani kufanya yangu
Anazo nyingi utachemka ww kuzitumia, ana maduka matatu kkoo na store mbili.
Tena hizo store kachukua floor nzima ghorofani kujaza mzigo wake. Kontena zinapishana kuingia godauni.!!!
Tuliza wenge ujilie pesa ile miufundi ya kimeru hapo ndo pa kuiachia sasa 😂😂😂
 
Back
Top Bottom