Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii amani unayoiharibu humumiezi saba now ๐ค๐ค๐ค soon naitwa mama jamanii awwwwh ๐ฅฐ๐ฅฐ๐ฅฐ
Sema wizo nae kwa kupotea! Kwanza uliendaga wapiii nikakumiss adi bas ๐ฅฐ๐ฅฐ๐ฅฐ๐ฅฐ
Kila nikikumiss nahis kababy boy kangu kanacheza tumbonii, katakuwa kakorofi kama baba akee ๐ฅฐ
Nimescreen shot nimewaonesha Watu wote marafiki zangu & vyombo vya ulinzi na usalama......lolote litakalonipata utahusikaAnazo nyingi utachemka ww kuzitumia, ana maduka matatu kkoo na store mbili.
Tena hizo store kachukua floor nzima ghorofani kujaza mzigo wake. Kontena zinapishana kuingia godauni.!!!
Tuliza wenge ujilie pesa ile miufundi ya kimeru hapo ndo pa kuiachia sasa ๐๐๐
Wizo BICHWA KOMWE - jibu pmMwambie ajibu pm zangu kabla sijabofya send gmail maana tayar nimeidraft email taamu
Acha uoga ww nenda kwa toto la kimeru hilo ukafungiwe ndani ๐คฃ๐คฃ๐คฃNimescreen shot nimewaonesha Watu wote marafiki zangu & vyombo vya ulinzi na usalama......lolote litakalonipata utahusika
๐คฃ๐คฃMaua ni mfupiAcha uoga ww nenda kwa toto la kimeru hilo ukafungiwe ndani ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Zile ngโombe toka umezikata mapembe zimepoa, zimepona ukichaa ๐๐๐Hebu njoo chap nikupige makonzi nataka kusepa. Mida ya ng'ombe kutoka malishoni hii.
Ww unamtaka mrefu ili umle nyama.?๐คฃ๐คฃMaua ni mfupi
Tukiacha ufupi, mimi ananichanganya sana na coment zake. Unaweza tumia dakika 20 kusoma mistari mi4 tu aliyoandka na usielewe.๐คฃ๐คฃMaua ni mfupi
Anakupenda hawezi kukuchambaNshamzoea huyo hanipi shida
๐๐๐คฃ๐คฃ itakuwa anatumia kitochi kuna button zimengโokaTukiacha ufupi, mimi ananichanganya sana na coment zake. Unaweza tumia dakika 20 kusoma mistari mi4 tu aliyoandka na uselewe.
Mashangazi yanazidi kuongezeka mjini tu
Shenzi sana ninyi vijana wa Dar
Ndio maana ndoa za watu zinavunjika sana
Vimebakia vi kengele navyo vimelegea kama sikio za mbuzi...Kula mishangazi yenye akili at least uwe na ww una mazingira kiasi sasa ww unaenda huna kitu mfukoni upo tu na ngozi ya mbupu imechakazwa na fangas
Na yupo single hushangau sio mmuha kweli??Anazo nyingi utachemka ww kuzitumia, ana maduka matatu kkoo na store mbili.
Tena hizo store kachukua floor nzima ghorofani kujaza mzigo wake. Kontena zinapishana kuingia godauni.!!!
Tuliza wenge ujilie pesa ile miufundi ya kimeru hapo ndo pa kuiachia sasa ๐๐๐
Kulala njee inakuhusu mwezi Mzima na ile floor nisikuone๐๐Haaaah! Mpenzi kumbe una bando......nsamehe bn ujue shetani ana nguvu ujue
Kweli mweh babe ila wewe shoo yako sio ya kiboya atleast unavumagaKula mishangazi yenye akili at least uwe na ww una mazingira kiasi sasa ww unaenda huna kitu mfukoni upo tu na ngozi ya mbupu imechakazwa na fangas
๐คฃ๐คฃ๐คฃAcha zake ww .......sema ndo hvo kula mishangazi yenye minofu na mizur mizur kua sehemu yenye green pastures na mara nyingi yy ndo atakupa signals....sasa we jikute unatafuta ww plus huna hela utakula wale visigino vina rangi flan afu wakilewa wanacheza wamekaaaVimebakia vi kingele navyo vimelegea kama sikio za mbuzi...