Sifa za Mashangazi Original

Sifa za Mashangazi Original

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakosaje gari kwa mfano???? Khaaaaa....

Kwa hili sambwanda langu lazima nitembee kwa kukaa.

Natembelea Harrier tako la nyanii sina mbambamba shangazi miee [emoji847][emoji847][emoji847]
[emoji23][emoji23][emoji23] wizooo harrier uitoe wapiii? Mfyuuuh
 
miezi saba now [emoji847][emoji847][emoji847] soon naitwa mama jamanii awwwwh [emoji3059][emoji3059][emoji3059]

Sema wizo nae kwa kupotea! Kwanza uliendaga wapiii nikakumiss adi bas [emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]

Kila nikikumiss nahis kababy boy kangu kanacheza tumbonii, katakuwa kakorofi kama baba akee [emoji3059]
Tutajie baba ake tafadhari, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Awwww [emoji3059][emoji3059][emoji3059] muanti wangu mshwiti shwiti soon unakuja!!!
Atakuwa hanshamu km baba ake, full ushombe ushombe [emoji7]

Anakosaje kuruka ruka aunt yake nikimissiwa na mama ake kwa mfano.? Aje tumtoe na tarumbeta [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
cocastic umesikia wizo anatuletea aunt, tujiandae kuitwa mashangazi [emoji23]
Wizooo wetu yuko winja winja uduguuu, shangazii tunae.
Kigoma na tarumbetaaa vipoo vya kushatooo, mama shughuri nipoo afu naimudu sasa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

huyo shombeshombe yupiii? Wee baba wa mtoto si jamaa wa kipare yuko humuuu? Au
 
Ndo vijana wa sasa hizo
ndo haso zao walizobakiza..una kuta kiboda boda au ki first year... kidinyoo kinakuchekea chekea kwa sbb kinajua una house na kigari cha kukupeleka misele yako ya hapa na hapa basi kinakuzoea zoea bila adabu aisee huwa navifurumusha na mazoea na hivyo vitoto ni kukaribisha nuksi...magari yenyewe ya familia... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji56] au mshangazi lazima uwe umefiwa na mume? Eti wananzengo...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie nimecheka had baas, kwann lakini??
 
[emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059] mjiandae kuitwa mashangazi ila sharti muwe na mawowowo ya haja [emoji3059][emoji3059] Ni sharti la kiukoo [emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Wee wizoo sasa wowowo la nn mie? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndoa ninayoo na mume ninae, wee hebu mlete shangazii tumchechefyee na ya dunia.

Afu usisahau kutuletea baba wa mtoto. Tumuone ni Don au apeche aloloo.
 
Back
Top Bottom