Sifa za Mashangazi Original

Sifa za Mashangazi Original

Asubutuu!! Vipare vifupi, vichawi afu vina roho mbaya [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wallah wa kwangu yuko tofauti na usemayo uduguuu
 
Nimetafuta wimbo wa Snura,uitwao Majanga ,sijaupata. Gari anunue yeye,mafuta aweke yeye,misele upige wewe.
Yaani dunia ya leo hamna kitu. Haya,mtoto wa kiume adai kuitwa mwanaume. Liumri lote kama urefu wa mnazi,hutaki kujishughulisha,unataka mwanamke achune akuletee. Na wewe kesho utalalamika madanga ya shangazi yamekufumua. Dadeki.
Kuna mchizi mmoja humu ndani alileta stori Fulani hivi kuhusu mashangazi.

Alikuwa denti wa Chuo Kuna lishangazi Moja la magomeni liko vizuri kimvuto jeupe na Lina pesa chafu Ile mbaya.

Likamtongoza jamaa.

Siku ya siku likamchukua jamaa hadi kwake magomeni kuingia ndani akakutana na shangazi jingine Nalo. Liko bomba mbaya.

Yaani weupe, Wana ma-misambwanda ya kuvunja Chaga na wanapesa mbeya.

Akaambiwa aingie chumbani mara ghalfa wote wawili Yale mashangazi yakazama ndani yakafunga mlango.na funguo.

Wakatoa dildo

Jamaa anasema wali mfvck kibabe kwa yake ma dildo. Maana walimpa vitisho vingi.

Kuwekeni makini na mishangazi mingine.
 
Yaan wanawake wawili wakutishe mwanaume huyo ni shoga .mm ningewaulia humo ndani au wangetoka vilema humo ndani.
Japo ujumbe vijana acheni vya bure mm nakula mishangazi ila natongoza kawaida kwa kuwalilia hali .na siendi kwa mwanamke maana sijui alielipia kodi .kinywaji nalipa mm na hela ya kiume nahonga kifupi naishi nae kama demu wangu wa miaka 23

Na likikupenda unapewa ule jicho hadi raha
 
1. Awe na umri kuanzia 40+ na awe na kwake (private),
2. Awe mfanyabiashara mwenye bar, Mama lishe, saloon au boutique.
3. Awe na ndinga (Harrier au hata Alphard si mbaya), akuachie uwe dereva wa hiyo gari kupiga nayo misele baada ya kumshusha kazini kwake.
4. Awe na minyama (tumbo, wezere na nyama za mikono).
5. Awe single Mother (Mama Junior).
6. Awe mlevi wa pombe Kali,

NB: epuka mashangazi ya Kariakoo, Ilala, Buza, Tandika, Mbagala, Magomeni na Kinondoni hayo Ni ya mchongo, full mizinga! Shangazi gani anashindia dera na ndala miguu imepauka
umeandika juu ya shilole
 
View attachment 2889903View attachment 2889904View attachment 2889905View attachment 2890096
Hahaha
 
Back
Top Bottom