Sifa za mwanamke nitakayemuoa mwaka 2018 mimi Deo Kisandu

Civilian Coin

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2012
Posts
2,305
Reaction score
4,380
SIFA ZA MWANAMKE NITAKAYE MUOA 2018 MIMi Deo KISANDU.

1.Asiwe mtoto au ndugu wa Rais au Makamu wa Rais au Waziri mkuu au Katibu Mkuu Kiongozi au Waziri au Viongozi wa CCM au CHADEMA.

2. Asiwe mlokole atanichezea akili Bali Mcha Mungu binafsi.

3.Sitaki Mwanamke wa kuletewa au wakupewa.

4. Asiwe mfanyakazi wa Ikulu, atatumika kunizima.

5. Awe Mwanasiasa ninaye mkubali Mimi.

6. Awe Mwanamitindo au MSANII ninaye mkubali Mimi.

7. Awe aliyewahi kushiriki mashindano ya Urembo (Miss Fulani hivi).

8. Awe mwanaharakati wa Maendeleo asiye tapeli kama vile mjasiliamali.

9. Awe Mwandishi au Mtangazaji ninaye mfahamu na nina mkubali Mimi.

10.Awe Mwanachuo anayejitambua kifikira.

11.Awe Mwananchi wa kawaida aliyefundwa maana ya MME na asiye tapeli Mali za Mme na asiye kubali kurubuniwa.

12. Awe mtu maarufu katika mambo mhimu ninayo yakubali Mimi.

13. Au Awe mtoto wa Barack Obama.

14. Awe Maji ya kunde au Mweupe kimtindo.

15. Walau English Figure na kasura kawepo walau kakulingishia maadui zangu.

16.Asiwe mwanamke yeyote ambaye nimewahi kuwa na uhusiano naye wa kimapenzi(Tunaanza upya).

NB: Huu sio utani mtanielewa tu. Mwenye sifa tunawasiliana au na mtafuta mwenyewe kwa namba yangu 0764 134570.

Deogratius Nalimi Kisandu.
27 Desemba 2017.
 
Utakuwa unatumia unga ww si bure huu upupu wako
 
Ndio mtemi rais ajaye 2020 lazima tuwe na first lady ambaye ni miss,maji ya kunde, mweupe,mtoto wa obama,mwanasiasa,msanii,modo, mwandishi wa habari,mwanachuo,mcha Mungu ,pia mwenye English figure...........kama huna hizo sifa zote kwa pamoja usimsumbue Deo aka mtemi aka rais mtarajiwa aka masqo
 
Mwezi huwa unaandama lini hasa kwa miezi ya mwisho wa mwaka
Hii namba 13 kiboko
 
Kiswahili buana,hivi ni nini maana ya ndoto za alinacha?[emoji53][emoji53][emoji53]
 
[emoji56] [emoji56] [emoji56] [emoji56] [emoji56] [emoji56] [emoji56] [emoji56] aiseeee?!!
 
mm kila nikiona post zako huruma hua inaniingia napowafikiria wanafunzi wako deo kisandu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hunifikii mm nilizan facebook imehamia huku[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Back
Top Bottom