Sifa za mwanaume amtakae Lady Jay Dee kwa sasa

Eti 'akikohoa tu',,!!

Au hayo mahojiano hayakua serious.
 
hahahaaa kina G utawajua tu!
tumpe intro mkuu!!! usifure tu

Hahaha I just spoke my mind naona watu wameni bwatukia hapa....perhaps nimewatonesha maumivu ya kuwachwa....lol Kweli MC wa msiba hapigiwi makofi !!!!

Nimechoma ubani kuna watu humu washapandisha maruhani....hahaha Lol.
 

kwenye red hapo ni kwamba anataka mwanaume awe mtumwa kwake!! Kwanza kwa jinsi ya lugha yake lazima atapata mwingine wa type yake.
 
 
 
Mi ningemchukua ila Hana vigezo zangu.mojawapo awe ajawahi olewa
 
Huyu bibie anashida sana wa2 wanaachana kwa amani hata mkikutana mnasalimiana vizuri
 

Attachments

  • 1424623503032.jpg
    35.3 KB · Views: 288
Ngoja nishanga kihindi "ajab kuba"

Labda akumbushwe kuwa majina huumba....so kama yeye ni commando asubiri commando mwenzake...kama ni Anaconda asubiri Python...kama ni binti machozi aandae ndoo za kutosha za kukinga machozi.
 
Hivi Lady hajakeketwa kweli!??

Teh teh teh....that's a bit harsh, dude.

Funny, nevertheless.

On a more serious note, I think she needs to tone down her drama queen ways.

To me she comes across as pugnacious and arrogant.

And I don't think that pugnacity will sit well with any potential suitor(s).

But what do I know....I am just a mbeba mabox who flunked out of school eons ago.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…