Sifa za mwanaume amtakae Lady Jay Dee kwa sasa

Sifa za mwanaume amtakae Lady Jay Dee kwa sasa

Eti 'akikohoa tu',,!!

Au hayo mahojiano hayakua serious.
 
Kwa maana hiyo Gadner alikuwa ndio mwenye tabia hizo za juu.
huyu anatakiwa dume la mbegu km King Kong
avatar28480_6.gif
akibebeshwa mimba tu atatulia hatajali tena masharti wala sura
JD_65.jpg
 
hahahaaa kina G utawajua tu!
tumpe intro mkuu!!! usifure tu

Hahaha I just spoke my mind naona watu wameni bwatukia hapa....perhaps nimewatonesha maumivu ya kuwachwa....lol Kweli MC wa msiba hapigiwi makofi !!!!

Nimechoma ubani kuna watu humu washapandisha maruhani....hahaha Lol.
 
Mwanaume mwenye vigezo gani ungependa kuwa nae kwa sasa?

JIBU :Anaejali na kuheshimu, mwenye roho ya upendo na huruma, anaeweza ku take care of me financially.Asiechepuka hovyo (Milupo kila kona ),Asiwe tegemezi.

Hata kama sio tajiri lakini asinitegemee.Asiwe mlevi kupindukia wa kulala bar,Wala kulala nje kwa machangu wa Kinondoni au popote pale.Nikikohoa tu awepo hapo..

Kwa mtazamo wako anaweza kupata Mwanaume asiye na mapungufu?

kwenye red hapo ni kwamba anataka mwanaume awe mtumwa kwake!! Kwanza kwa jinsi ya lugha yake lazima atapata mwingine wa type yake.
 
Nampa pole mwanamke mwenzetu ameingia stage ya frastuation ndicho kinachomsumbua. Ningekuwa karibu nae ningemwomba atulie asiongee chochote kwanza mpaka akili yake ikitulia.

Maana sasa mwisho anajikuta anaongea vitu vya ajabu kuwa akikohoa tu mume awepo. Wanaume wengi hawapendi hili na ndicho kilichoharibu ujumbe mzima[/QUOTE]

umeona eeh
 
Nampa pole mwanamke mwenzetu ameingia stage ya frastuation ndicho kinachomsumbua. Ningekuwa karibu nae ningemwomba atulie asiongee chochote kwanza mpaka akili yake ikitulia.

Maana sasa mwisho anajikuta anaongea vitu vya ajabu kuwa akikohoa tu mume awepo. Wanaume wengi hawapendi hili na ndicho kilichoharibu ujumbe mzima[/QUOTE]

umeona eeh
Nimeona hilo lengo lake lilikuwa zuri lakini kipande kidogo tu kimeharibu nia nzima. Kama anaakili aombe msamaha tuu arekebishe usemi. Vitu vya kupost media huwa viko sensitive
 
Mi ningemchukua ila Hana vigezo zangu.mojawapo awe ajawahi olewa
 
Huyu bibie anashida sana wa2 wanaachana kwa amani hata mkikutana mnasalimiana vizuri
 

Attachments

  • 1424623503032.jpg
    1424623503032.jpg
    35.3 KB · Views: 288
Ngoja nishanga kihindi "ajab kuba"

Labda akumbushwe kuwa majina huumba....so kama yeye ni commando asubiri commando mwenzake...kama ni Anaconda asubiri Python...kama ni binti machozi aandae ndoo za kutosha za kukinga machozi.
 
Hivi Lady hajakeketwa kweli!??

Teh teh teh....that's a bit harsh, dude.

Funny, nevertheless.

On a more serious note, I think she needs to tone down her drama queen ways.

To me she comes across as pugnacious and arrogant.

And I don't think that pugnacity will sit well with any potential suitor(s).

But what do I know....I am just a mbeba mabox who flunked out of school eons ago.
 
Back
Top Bottom