Mwanamalundi
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 3,125
- 1,435
Hizo sifa zilizotajwa, gadnar habash anazo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huyu anatakiwa dume la mbegu km King KongKwa maana hiyo Gadner alikuwa ndio mwenye tabia hizo za juu.
Ehee Mwanaume unabwabwaja maneno, si uvae sidiria tuelewe
hahahaaa kina G utawajua tu!
tumpe intro mkuu!!! usifure tu
Mwanaume mwenye vigezo gani ungependa kuwa nae kwa sasa?
JIBU :Anaejali na kuheshimu, mwenye roho ya upendo na huruma, anaeweza ku take care of me financially.Asiechepuka hovyo (Milupo kila kona ),Asiwe tegemezi.
Hata kama sio tajiri lakini asinitegemee.Asiwe mlevi kupindukia wa kulala bar,Wala kulala nje kwa machangu wa Kinondoni au popote pale.Nikikohoa tu awepo hapo..
Kwa mtazamo wako anaweza kupata Mwanaume asiye na mapungufu?
Nampa pole mwanamke mwenzetu ameingia stage ya frastuation ndicho kinachomsumbua. Ningekuwa karibu nae ningemwomba atulie asiongee chochote kwanza mpaka akili yake ikitulia.
Maana sasa mwisho anajikuta anaongea vitu vya ajabu kuwa akikohoa tu mume awepo. Wanaume wengi hawapendi hili na ndicho kilichoharibu ujumbe mzima[/QUOTE]
umeona eeh
Nimeona hilo lengo lake lilikuwa zuri lakini kipande kidogo tu kimeharibu nia nzima. Kama anaakili aombe msamaha tuu arekebishe usemi. Vitu vya kupost media huwa viko sensitiveNampa pole mwanamke mwenzetu ameingia stage ya frastuation ndicho kinachomsumbua. Ningekuwa karibu nae ningemwomba atulie asiongee chochote kwanza mpaka akili yake ikitulia.
Maana sasa mwisho anajikuta anaongea vitu vya ajabu kuwa akikohoa tu mume awepo. Wanaume wengi hawapendi hili na ndicho kilichoharibu ujumbe mzima[/QUOTE]
umeona eeh
Hivi Lady hajakeketwa kweli!??
Ati Akikohoa ndo inakuwa nn?
Akikooa usogee karibu fasta