Sifa za mwanaume amtakae Lady Jay Dee kwa sasa

Tatizo anaudhi ukorofi!!!. Aaagh mwanamke gani unakuwa mkorofi kihivyo!.Umeolewa then unamnyanyasa mwanaume kisa una hela!
 

Beauty is in the eye of the beholder,

she was once married then someone saw her or saw something in her what you have not seen thus disqualifying you in the competitions let the ones who see something in her take the wheel.
 
Ivi honestly we jamaa una umri gan ?? Huwezagi andika kitu kikaeleweka ?? Alaf seems unajiona mjanja mwenyewe.....ndio maana watu wengi humu hawaku heshimu... #Badilika.
Napita ntarudibadaae unatumiadawa ganivileya mswaki nijue wapi pakuanzia kukusaidia
 

mchaga weka space unatuvuruga hatukuelewi kiongozi
 
Money Stunna,

Kama anasubiri mwanaume wa aina hiyo atasubir mpaka yesu atakaporudi hamna mwanaume wa hivyo.
 
Last edited by a moderator:
Atapata mj.inga mwenzake maana kuna watu wapo tayari kulamba wenzao miguu mradi mkono utinge kinywani.
 
wanaume wa sasa hivi hakuna hata anayefaa kwa ndimu... ukimkubali tu kuanza mahusiano ni ukurasa mpya wa makwazo umefungua.
 
Hahahahahaah mkuu una maneno duh. Ila huyo mwanaume wa kumkoholea tu anakuja sijui kama wapo labda afuge kambwa. ko ko ko halafu huyo anakuja nduki i think she is just dreaming.
 
you made me cry pole for the loss
ive one i dont know if i can still make it to have another one,i dont want to imagine how i will feel to loose him as we are not permanently bound to have them

shmd65 shukran sana, . ni mapito tu ya kidunia na mitihani yake, usiogope wala kukata tamaa endelea kumuomba Mungu naye hatokutupa. . . . Kaa na mwenzio jadilianeni take all necessary preps and push the button to get going. . . . .

Nakutakia kila la kheri juu ya ujenzi wa familia yako!!!!
Ila be a lady please(the way you write suggest so) achana na u commando
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahaah mkuu una maneno duh. Ila huyo mwanaume wa kumkoholea tu anakuja sijui kama wapo labda afuge kambwa. ko ko ko halafu huyo anakuja nduki i think she is just dreaming.
Ha ha haaaaaa samehe bure my dada bhana, sasa anayoyataka hatuna bora tumpe maneno yamfae maishani asije sema "wanaume kama mabinti" hata ushauri tumeshindwa!!!!

Maana kwa kipaji tu na utungaji aaaaanh (nampendea hapo tu) utasikia tu hapa kabla ya June atatumulika na kibao. . . . . . . .ila for sure angekaa na watu wenye busara na awasikilize angeambulia japo calmness ambayo ndio shield kubwa anayohitaji kwa sasa. . . . . .
 
Hahahahahaah mkuu una maneno duh. Ila huyo mwanaume wa kumkoholea tu anakuja sijui kama wapo labda afuge kambwa. ko ko ko halafu huyo anakuja nduki i think she is just dreaming.

Aseme labda anataka serengeti boy
 

Ni kweli anapaswa kukaa na washauri wa maana haya mambo ya kujianika mitandaoni anawapa watu pesa tu wapate cha kuandika na kuuza magazeti yao. Unajua wengi wanahisi mwanaume wa eti ukikohoa yupo anafaa kumbe hapana maisha hayapo hivyo. Pendo limezidi fahamu zote hakuna formula ya maisha ya ndoa .

Ndio maana kila ndoa ina utofauti , wengine mume ndiye anaepanga kitaliwa nini na wengine mke ndiye ajuaye mambo yote na ndoa zote hizi zina upendo wa ajabu. Kikubwa huyu dada anapaswa kutafuta mtu atakaempenda na yeye ampende jinsi alivyo lkn ukishaweka conditions zote hizi basi umeharibu.

Kingine anachopaswa kujua ni kwamba hakuna binadamu asiye na mapungufu watu wote wana mapungufu yao. No one is perfect
 

hlf kuna yale mavazi yake anavaa dzain ya ovarol yan utafikir yupo gereji
 
Aseme labda anataka serengeti boy
Hahahahah serengeti boy ukikohoa anatoka nduki anakuja lol nasikia siku hizi hakuna serengeti boy wote watu wazima. Yaani limtu la ukikohoa lipo mmmh nahisi kama atakua hajitambui
 

No wonder you are my sissie Ablessed. . . . Kajamaa kalibahatisha sana kale sijui hata kama kanajijua kama jembe!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…