Sifa za mwanaume amtakae Lady Jay Dee kwa sasa

Sifa za mwanaume amtakae Lady Jay Dee kwa sasa

Honestly, Huyu mwanamke simpendi and ananichefuaga sanaaa. Its easy to see and tell pamoja na hela, mali na mafanikio yake, she a lonely nd depressed b*tch. Yote sabab ya jeuri na dharau zake. U can tell much from someone's tone of speaking (voice) and ways of life.
Ivi anavyo bwata bwata hadharani kuhusu mambo yake ya ndani, anafkiri ni nani anae dhalilika ??? Mambo yenu ya ndani (ndoa) sisi yanatuhusu vp ?? Mi ndio maana nawaambiaga watu, ukiwa mwanaume usije ukakubali hata siku moja mtu akulinganishe na mwanamke ( as in una mambo na tabia za kike). I consider that a very serious offence. Seriously, Huyu dada halijioni lishakua zee, to act a kid ??? #NoHardFeelings .

A senior boss you sound like her
 
Binti machozi,
Komandoo
Jide,
etc...
Hio ya kwanza ndio inamfanya huruma iwepo! Pamoja na ukomandoo wake huduma ni lazima mkuu. Hayo mengine anajifaragua tu! Ila usiku ama wakati wowote anahitaji huduma ....."nikikohoa tu awepo hapo"

umesahau anakonda
 
Wanawake wengi siku hizi hawajui t play their role kama mwanamke.

Mwanamke akishajiita komando, anakonda, jide baadae binti machozi huyu lazima atakuwa ana matatizo.
Ni sawa ukutane na mwanamke anayesusa kila saa, au usipomtumia hata msg ananuna huyo atakuwa ana matatizo ya akili.
Take care financially hata asipokuwa tajiri asinitegemee, a lot of contra. Huyu ni mwanamke au jini kula watu?

Nadhani Gadner atakuwa amevumilia mengi sana ya huyu komando wa kike na sasa amepumua na ana raha tele.
 
Aliambiwa na mpiga ramli wake ataolewa mwakani na mtu mwenye pesa zake!
 
You r right, BUT IM IN FAVOUR OF G, TO HAPPINESS THAN JAY DEE.
I DNT MEAN TO DESPISE JAY FOR NOT HAVING A CHILD, BUT THE FACT REMAINS THERES ALOT SHE MISSES TO THAT. SHE SHOUTS NOW ! WHY? SHE IN GREAT LOSS, I TELL U.
MBONA G YUPO KIMYA.

Yupo kimya sababu uanaume hauruhusu kubweka kama mdada, mdada ana cool nerve kwa kuongea (ila wapi??!!) wanaume tuna cool nerve kwa kuongeza nguvu kufikia malengo. . . . .Bkaza alilala sana lakini pia hakuishi "smart life" unakumbuka kadada kanasema "nataka mtu wa kuniongoza. . . . ." hii habari nzito sana mkuu data. . . . .mi nawakubali wote kwa kazi zao ila walijisahau wakaishi maisha ya kazi reality ikawapita saa hizi wamekumbuka sasa kuna maisha zaid ya "kazi" wanajikuta wako nje ya beat sasa ni kama kila mtu anaangukia kwake!!!

Atakayekubali makosa yake akaanza kujirekebisha huyo ndiye atakaeona mwanga wa kweli wa maisha wakiendelea na misifa yao . . . . . . .consolation costs nothing. . . .
 
Last edited by a moderator:
Hajui anachotaka ye atafute anayepiga p.u.mbu la uhakika hayo mengine ajifanyie mwenyewe
 
Gardner alivumilia mengi aiseee...alafu ndoa ya kikristo haivunjiki mke wa mtu huyu
 
Duuh! Kumbe wameshamwagana!! Tatizo nini? Au tetesi za UGUMBA wake ndo umemvunjia ndoa yake? Pole yake sana!!! Kama yupo humu aniPM tu mara mojamoja naweza mpelekea dushe langu likamtoa upweke!!
 
Kifupi mwanaume unatakiwa uchepuke, lakini sio uchepuke ovyo (kicheche).
 
Back
Top Bottom